Namtafuta Kaka

Enoc jophrey

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
24
Reaction score
5
Katika maisha tunaishi wote kama ndugu,haijalishi mmetoka ukoo mmoja,familia au hata taifa moja,lakini wote tunapokutana mahali tunajikuta tukiwa kama ndugu wamoja.

Nimeishi pekee kwa muda sasa nikiwa mwenyewe,kila nikiona na kusikia wenzangu wakiita na kujivunia kaka zao roho imekuwa ikiniuma sana.

Natamani nipate na mimi kaka nitakaye mjali na kumuheshimu kama kaka yangu wa damu,naye aniongoze na kunithamini kama mdogo wake, furaha yangu itatimia zaidi.

Kwa atakayekuwa tayari karibu sana 0686 87 18 87 Whatsap

Nina langu in Enoc Jophrey
 
Wapo ma He,ila tu si kila aliyekuwepo anaeeza kuwa nduguyo@jenerali Ambamba
 
Mbona unanipa wasiwasi?:wacko:.........
 
weka umri na vitu ambavyo uko interested navyo...
elimu yako.
unakoishi..hata mkoa tu.
 

Kuna jambo si bure!
 
Tatizo watanzania tuna kuwa na wrong vision always,kila kitu kinapindishwa na negative side,sio vizuri Mambo mengine ni serious na mpaka MTU anafikia kuweka Thread anamaanisha.Mungu mwema nimempata kaka angu Mwema
 
who cares¿.....uko watsap watakuja kukuchungulia tu..then wabakupotezea ingekuwa nch za magharib mngeweza hata kuapa mahakaman kuwa ni ndugu wa hiar na mkaish km ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…