Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,685
Habari,
Kuna dada mmoja mkarimu na anaonekana mtaratibu mno namtafuta mazingira haya kuruhusu kupata contacts zake.
Tulikutana leo kanisani jumatano ya majivu....usharika flan lutheran nlichelewa kdgo nikaja nikaketi bench moja na ww (la pili kutoka mwisho kama sikosei)
Nilivaa shati mikono mifupi (a mix of blue & white ) wit dark blue jeans wit sandals. Jamani huyu mdada ki ukweli uongo dhambi ameniteka nikatokea kupendezwa nae na kutamani kuwasiliana nae zaidi na kujenga urafiki.
Ulivaa some sort of a dark blue shirt/top na greenish sandals...u have a samsung galaxy na a red pouch kwenye bench ulijifunga mtandio (a green one)...tukiwa church nikakusisitiza sanaa uchukue karatasi yenye mafunzo ya utoaji zaka na dhabihu (sadaka) but ukasema sio tatzo if ningebaki na ile karatasi tulizopewa church.
Daah kama upo huku nitafute plz. Nakumbuka uliniaga getini ukiwa unaondoka...nilitingwa na watu nikajikuta nashindwa kuchukua mawasiliano yako. Daamn !!!
Masikini ya Mungu hata jina hukuniambia...