Ingetakiwa uyataje majima yote matatu ya baba yako huwenda hata yeye angesoma hii thread yako na akakutafuta.Wana jukwaa habari za Alhamis hii njema iliyo njema machoni pa Mungu ametuwezesha kuiona hatunabudi kumpa sifa na utukufu, [emoji122]
Maada yangu mimi ni kijana ambaye nimeishi maisha ya Mama pekee bila Baba mzazi ikiwa na maana kwamba toka nizaliwe sijawahi muona baba yangu na wala simfahamu.
Na mama yangu hajawahi kunionesha wala kushughulika kuhusu hili, kuna kipindi mambo yalikuwa yakibadilika nyumbani hadi namkumbuka baba najisemea labda kama baba angelikuwepo haya yote yangewezekana,
Nilikuwa nakaa nalia kwa kulalamika baba yangu kwanini mama alinificha ?.nilishangaa hadi mama nilikuwa nikimkosesha raha kabisa, basi kwa huruma ya kumhurimia mama nikawa njisemea tu poa kwa vile nisha kuwa hamna noma.
Ubini wa baba yangu naufahamu, majina yote matatu, kwa maana yapo kwenye cheti changu cha kuzaliwa.
Na nilimuuliza akasema haya ndo majina ya baba yako mzazi,
Siku moja mama alinieleza kisa chote kwamba :
Sijajua kuwa mahusiano yao kati ya baba na mama yalianza mwaka gani, Kwa maana mama alinambia wao walipotezana mwaka 1994 hapa mkoani Mwanza walikuwa wakifanya kazi kwenye kiwanda cha (plastics )cha kutengeneza vyombo vya bondo.
1994 walipotezana nikiwa tumboni nadhani mtakuwa mmenielewa.
Kwao baba ni mzaliwa wa Biharamulo lakini sijawahi kumtafuta baba yangu, natamani kumuona japo nimfahamu tu.
Mpaka sasa sijajua yupo wapi, je atakuwa Biharamulo, je, atakuwa Mwanza au atakuwa wapi???????
Wana jf ntampata baba yangu mzazi?
Je, nikitumia mitandao ya kijamii ntampata?
Mbarikiwe nyote.
[emoji2398]Bin Shaib Classic 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana na hongera kwa kuchukua uamuzi huu mgumu.. Nakushauri pia weka matangazo kwenye vyombo vingine vya habari kama magazeti, TV na redio... Inaweza kuwa safari ngumu lakini inshallah utafanikiwaWana jukwaa habari za Alhamis hii njema iliyo njema machoni pa Mungu ametuwezesha kuiona hatunabudi kumpa sifa na utukufu, [emoji122]
Maada yangu mimi ni kijana ambaye nimeishi maisha ya Mama pekee bila Baba mzazi ikiwa na maana kwamba toka nizaliwe sijawahi muona baba yangu na wala simfahamu.
Na mama yangu hajawahi kunionesha wala kushughulika kuhusu hili, kuna kipindi mambo yalikuwa yakibadilika nyumbani hadi namkumbuka baba najisemea labda kama baba angelikuwepo haya yote yangewezekana,
Nilikuwa nakaa nalia kwa kulalamika baba yangu kwanini mama alinificha ?.nilishangaa hadi mama nilikuwa nikimkosesha raha kabisa, basi kwa huruma ya kumhurimia mama nikawa njisemea tu poa kwa vile nisha kuwa hamna noma.
Ubini wa baba yangu naufahamu, majina yote matatu, kwa maana yapo kwenye cheti changu cha kuzaliwa.
Na nilimuuliza akasema haya ndo majina ya baba yako mzazi,
Majina ya baba ni:
#SHAIB HASSAN MUSSA
Siku moja mama alinieleza kisa chote kwamba :
Sijajua kuwa mahusiano yao kati ya baba na mama yalianza mwaka gani, Kwa maana mama alinambia wao walipotezana mwaka 1994 hapa mkoani Mwanza walikuwa wakifanya kazi kwenye kiwanda cha (plastics )cha kutengeneza vyombo vya bondo.
1994 walipotezana nikiwa tumboni nadhani mtakuwa mmenielewa.
Kwao baba ni mzaliwa wa Biharamulo lakini sijawahi kumtafuta baba yangu, natamani kumuona japo nimfahamu tu.
Mpaka sasa sijajua yupo wapi, je atakuwa Biharamulo, je, atakuwa Mwanza au atakuwa wapi???????
Wana jf ntampata baba yangu mzazi?
Je, nikitumia mitandao ya kijamii ntampata?
Mbarikiwe nyote.
[emoji2398]Bin Shaib Classic 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
All the best mkuu katika juhudi hizi za kumtafuta baba yako,raha ya hapa duniani ni pamoja ya kuishi na wapendwa wako(family)kwa nchi yetu utahangaika mno ila usikate tama ,mfumo mbaya wa utawala wetu wa kutozingatia suala hili la uraia ndio matokeo yake haya,ungekuwa hapo Namibia ungeenda home affairs yao na majina yako na hayo majina wana ya run katika populations register ya nchi na kama alikuwemo data zake zote zitajionyesha ikiwa ni pamoja na anwani yake na hii itapelekea wewe kujua wapi kwa kuanzia kumtafuta na ukimpata bila shaka paternity test itakuwa sehemu ya ufumbuzi ,but kwa nchi yetu hili halipo kwa hiyo ni try and error method na hii itakuchukua muda kweli,watendaji wetu pale home affairs wako busy kukimbizana mitaani na wapinzani wa kisiasa wakati nchi ikigeuzwa kuwa na kituo kikubwa cha drugs,human trafficking,utakatishaji wa pesa haramu etc etc.Good luck mkuuWana jukwaa habari za Alhamis hii njema iliyo njema machoni pa Mungu ametuwezesha kuiona hatunabudi kumpa sifa na utukufu, [emoji122]
Maada yangu mimi ni kijana ambaye nimeishi maisha ya Mama pekee bila Baba mzazi ikiwa na maana kwamba toka nizaliwe sijawahi muona baba yangu na wala simfahamu.
Na mama yangu hajawahi kunionesha wala kushughulika kuhusu hili, kuna kipindi mambo yalikuwa yakibadilika nyumbani hadi namkumbuka baba najisemea labda kama baba angelikuwepo haya yote yangewezekana,
Nilikuwa nakaa nalia kwa kulalamika baba yangu kwanini mama alinificha ?.nilishangaa hadi mama nilikuwa nikimkosesha raha kabisa, basi kwa huruma ya kumhurimia mama nikawa njisemea tu poa kwa vile nisha kuwa hamna noma.
Ubini wa baba yangu naufahamu, majina yote matatu, kwa maana yapo kwenye cheti changu cha kuzaliwa.
Na nilimuuliza akasema haya ndo majina ya baba yako mzazi,
Majina ya baba ni:
#SHAIB HASSAN MUSSA
Siku moja mama alinieleza kisa chote kwamba :
Sijajua kuwa mahusiano yao kati ya baba na mama yalianza mwaka gani, Kwa maana mama alinambia wao walipotezana mwaka 1994 hapa mkoani Mwanza walikuwa wakifanya kazi kwenye kiwanda cha (plastics )cha kutengeneza vyombo vya bondo.
1994 walipotezana nikiwa tumboni nadhani mtakuwa mmenielewa.
Kwao baba ni mzaliwa wa Biharamulo lakini sijawahi kumtafuta baba yangu, natamani kumuona japo nimfahamu tu.
Mpaka sasa sijajua yupo wapi, je atakuwa Biharamulo, je, atakuwa Mwanza au atakuwa wapi???????
Wana jf ntampata baba yangu mzazi?
Je, nikitumia mitandao ya kijamii ntampata?
Mbarikiwe nyote.
[emoji2398]Bin Shaib Classic 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kumtakia kila la heri.Usiweke matarajio makubwa kwa baba'ko .Anaweza kukukataa tena, kama mazingira ya mama alikua hayaelewi, kuna kumkuta katika khali ya ufukara zaidi, au utajiri zaidi na akahisi pengine umemtafuta sababu ya mali
La mwisho wakazi wengi wa mwanza ni wapenzi wakusikiliza redio free na wanakipindi kinaitwa namtafuta
Unaweza kufanikiwa kupata ndugu au jamaa wa baba yako na lengo lako likatimia
Kila la kheir bin Shaib
Ushauri muruwa kabisa, umeshakuwa tulia Fanya maisha yako. Pole sana ila huu ushauri uchukue km changamoto tu.Kweli tumtakia kila la heri.
Lakini dunia hii mwanadamu hata kama ni mzazi, anaweza asione umuhimu wako kabisa.
Usha kua mtu mzima ni time to cry, Tafuta njia za kujenga familia yako ijayo.
Naungana na yeye kumtafuta mzee lkn naona amechelewa mno kutaka kumjua baba imagine miaka 26 tayari ndio unaanza kumtafutaKweli tumtakia kila la heri.
Lakini dunia hii mwanadamu hata kama ni mzazi, anaweza asione umuhimu wako kabisa.
Usha kua mtu mzima ni time to cry, Tafuta njia za kujenga familia yako ijayo.
Asante mkuu Mshana JrPole sana na hongera kwa kuchukua uamuzi huu mgumu.. Nakushauri pia weka matangazo kwenye vyombo vingine vya habari kama magazeti, TV na redio... Inaweza kuwa safari ngumu lakini inshallah utafanikiwa
Jr[emoji769]
Asante ubarikiwe sanaUsiweke matarajio makubwa kwa baba'ko .Anaweza kukukataa tena, kama mazingira ya mama alikua hayaelewi, kuna kumkuta katika khali ya ufukara zaidi, au utajiri zaidi na akahisi pengine umemtafuta sababu ya mali
La mwisho wakazi wengi wa mwanza ni wapenzi wakusikiliza redio free na wanakipindi kinaitwa namtafuta
Unaweza kufanikiwa kupata ndugu au jamaa wa baba yako na lengo lako likatimia
Kila la kheir bin Shaib
PamojaAll the best mkuu katika juhudi hizi za kumtafuta baba yako,raha ya hapa duniani ni pamoja ya kuishi na wapendwa wako(family)kwa nchi yetu utahangaika mno ila usikate tama ,mfumo mbaya wa utawala wetu wa kutozingatia suala hili la uraia ndio matokeo yake haya,ungekuwa hapo Namibia ungeenda home affairs yao na majina yako na hayo majina wana ya run katika populations register ya nchi na kama alikuwemo data zake zote zitajionyesha ikiwa ni pamoja na anwani yake na hii itapelekea wewe kujua wapi kwa kuanzia kumtafuta na ukimpata bila shaka paternity test itakuwa sehemu ya ufumbuzi ,but kwa nchi yetu hili halipo kwa hiyo ni try and error method na hii itakuchukua muda kweli,watendaji wetu pale home affairs wako busy kukimbizana mitaani na wapinzani wa kisiasa wakati nchi ikigeuzwa kuwa na kituo kikubwa cha drugs,human trafficking,utakatishaji wa pesa haramu etc etc.Good luck mkuu
Mungu aniongoze nimpateHuu uzi umenikumbusha wimbo wa Luck Dube uitwao remember me
Pole sana kijana, daddy wako yupo somewhere utampata tu.
Kweli ee!!?Kweli kumtakia kila la heri.
Lakini dunia hii mwanadamu hata kama ni mzazi, anaweza asione umuhimu wako kabisa.
Usha kua mtu mzima no time to cry, Tafuta njia za kujenga familia yako ijayo.
Kwani haiwezekani mkuuNaungana na yeye kumtafuta mzee lkn naona amechelewa mno kutaka kumjua baba imagine miaka 26 tayari ndio unaanza kumtafuta
Powa mkuuShaib Hassan Mussa wanaweza kuwa zaid ya mia na baadhia yao washakuwa na wapenzi mwanza kipindi hicho na wawili watu washafanya kazi kiwandani hapo.
Ongeza labda details za mama anaitwa nani alikua anakaa mtaa gani itawarahisishia akina Shaib Hassan Mussa kumtambua mamayo haraka afu kukutambua wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app