Namtafakari Mh. Bernard Membe!

Hapa mnatapatapa sana lakini ukweli ni kwamba Stephen Masato Wassira ndio chaguo la wengi 2015.
 

9. Atueleze alipotoa fedha za kujengea zile hoteli za NAF BLUE zenye hadhi nyota 5 kule MTWARA Mjini!, Au ndo uwaziri unalipa kiasi hicho!?. WIZI MTUPUUU
 
CCM ilishatoa Rais kusini mwa Tanzania. Itabidi kanda zingine nazo zifikiriwe kutoa Rais. Wapo wenye sifa tena zaidi ya Membe na wanaopendeka kutoka Nyanda za juu kusini, Central Tanzania, Kaskazini na Mashariki.
 
Ameshindwa kutumia diplomasia na urafiki wa kihistoria kati ya Tz na China na kuacha vijana wa kitanzania 160 kunyongwa kwa wakati mmoja.
Viongzi wa Tz ni makuwadi tu wa kuiuza nchi lakini sio kuwatafutia watanzania fursa nje ya nchi.
Wapo kwa ajili ya familia zao tu.
Atuambie alifanya jitihada gani ktk kudhibiti hiyo biashara ya sembe?
 
Mkuu sasa Membe anakagua kiwanda cha saruji cha MEIS kama mdau wa maendeleo Lindi au mwekezaji wa pesa za Libya?
To be honest, hata mimi nilipata taabu kidogo kufahamu dhamira ya hatua yake hiyo ingawaje kwa upande mwingine siwezi kushangaa sana hasa nikizingatia kwamba ni yeye ndie ame-push ujenzi wa kiwanda hicho. Vilevile kuna jambo moja lipo wazi...Membe amekuwa akijitahidi sana ku-push mkoa wake mbele lakini kwa bahati mbaya mkoa wenyewe haubebeki (this's not an insult coz' even myself natoka huko) kutokana na sababu kadhaa wa kadhaa. So, Membe anapoona ujenzi wa kiwanda kama hicho, kwake ni mafanikio makubwa na ikiwa ana nafasi ya kufanya alichofanya(kukagua) basi hawezi kuiacha nafasi hiyo.
 
membe huo uwazir wenyewe umemshinda,sembuse ukampe aongoze nchi,huyu alipaswa awe mwalimu kama mama salma
 
Wewe mtaje Bernard Membe na umahili sijui wa intelijensia na diplomasia, kwa taarifa yako kuna mtu atatokeza wala alikotoka hapatajulikana isipokuwa ni July mwakani 2015 ndiyo utamjua Membe kuwa anasdindikiza watu wengine
Na akaja magufuli
 
wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…