Namtafakari Mh. Bernard Membe!

Ccm wamekataza kutangaza nia kabla ya muda cjui wewe member kakurusu kufanyia kampeni humu jf
 
Ccm wamekataza kutangaza nia kabla ya muda cjui wewe member kakurusu kufanyia kampeni humus jf
 

Hakuna mahali nilipomu-undermine Lowasa. Kwa vile wewe unadai ana nafasi kubwa then ............. we're still in the same boat.......CCM wata-recycle kama kawaida yao. Ndiyo maana nikasema tusitegemee mtu aibuke kwenye hii nafasi kama Prof. Muhongo!!
 
Nape, Membe na Samweli 6 hawa ni CCJ. Wapo CCM kulinda nyadhfa walizohongwa. Wangekua waadulifu wangetoka kama Mrema
 
 
Last edited by a moderator:
waulize akina KUBENEA na ----------- yao!. waulize wanahabari walioambiwa akiwa prezidah watatafuta nchi ya kukimbilia! Uliza umahiri wake huko TISS aliko na alikoanzia!! Utaupata "utaratibu" "uwezo" wa kushughulikia wapinzania wa nia yake! Muulize Lowasa anavyofuatiliwa.
 
huyu membe ni mtu wa kuchekacheka tu kama fast jet hana lolote....... tunahitaji rais mtendaji ambaye hatocheka na nyani kama huyu wa sasa ambaye hata ukitembea na mkewe yeye atacheka tu
 
Ni zamu ya Lowassa sasa au Magufuli au Mwakiembe . Membe alishawakilishwa na Mkapa. Na wakati wa Mkapa hakupewa uwaziri majembe yalikua mengi
 
Naf Beach Hotels in Mtwara are belonging to him, je ameziorodhesha mali zake zote kwa tume ya maadili ya viongozi?
 
Membe ni 3rd or 4th generation ya siasa za CCM, hivyo siku akitamka kugombea kashfa zake tutaziona tu, kwani hao ambao ni 2nd or 3rd generation wanamjua in and out.

 
Mbona comment zako zote zimelalia sana upande wa dini ? Unamaana gani? Toa maelezo zaidi
 
 
Hana kashifa,anazo sifa toshelezi za kuiongoza tanzania ,ni mweledi wa siasa za uchumi na maendeleo kitaifa na kimataifa.
Mbaguzi mkubwa sana. Siku moja mwenge wa uhuru unapita alipewa nafasi ya kuongea. katika kuongea kwake alisema kusini ni maskini kwa sababu ya watu wa kazkazini. Alipoaanza kuongea hiyo pumba alinyang'anywa mic na kiongozi wa mbio za mwenge. Hafai kabisa hatutaki status quo tena TZ.
 


Halafu membe saa hivi harakati ametuliza kabisa huyu jamaa atakua ameambiwa asiseme seme hovyo ili jina lake lisiwekwe miongoni mwa wale wakorofi wa kukigawa chama ambao watachujwa na CC (sitta na Lowassa) ili kukinusuru chama...smart move mpaka 2025 hata zile kauli za wabaya 11 watanganyika na wana CCM watakua wamesahau au wamesahau
 
Nasikia yale mabilioni ya Ghadhaff aloyotanguliza TZ kupitia Membe ili akizidiwa na wavamizi kule Libya aje kuishi uhamishoni TZ, alipo uawa wamezigawa na kujenga maghorofa Kariakoo na kwingineko
 
Nasikia yale mabilioni ya Ghadhaff aloyotanguliza TZ kupitia Membe ili akizidiwa na wavamizi kule Libya aje kuishi uhamishoni TZ, alipo uawa wamezigawa na kujenga maghorofa Kariakoo na kwingineko

Hebu tupe mchapo huu vizuri maana inasemekana kuwa huyu jamaa hana kashfa kabisa...
 
Halafu membe saa hivi harakati ametuliza kabisa huyu jamaa atakua ameambiwa asiseme seme hovyo ili jina lake lisiwekewe miongoni mwa wale wakorofi wa kukigawa na chama ambao watachujwa na CC (sitta na Lowassa) ili kukinusuru chama...smart move

Nashawishika kukubaliana nawe ktk mtizamo huu. Nakumbuka mara ya mwisho kuzungumzia habari ya Urais ni pale alipohojiwa na Jenerali Ulimwengu, naye alipoulizwa alisema kuwa bado hajaoteshwa, ila bado usingizi upo. He is very smart. Lets wait and see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…