Namshuru Mungu kwa kweli

Siku mbili....! Duuh
mkuu....! kweli we una huruma.. akilia tu.. unahisi unamuua mtoto wa watu..LOL
 
Maskinii yaan umekuja kumuanika humu. Inaonekana wee jamaa haunaga siri ipo siku utakuja na mengine.

Naona umejiwahi tukuone mjuzi kwa kwenda nje cup.
 
Bikra itakusaidia nini na huu ugumu wa maisha aliouleta ngosha mkuu?
 
Mkuu vipi hana mdogo wake huyo? Na mimi natafuta bikira
 
Je kama aliikamulia maji ya limao na ndimu,
Anyway
Hongera mkuu all best wishes
 
Hawa Millennials Generation ni shida! Kila kitu hadharani!
 
bikra zipo , kwa mwaka jana pekee nlimewapata wawili , na nimewatoa Instagram wote na ni wanachuo tena mmoja mwaka wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…