Namshukuru mungu nimeitwa kazini

Namshukuru mungu nimeitwa kazini

Hongera sana! Fanya kazi kwa bidii.uvumilivu ndio ngao yako ktk kazi .mtangulize Mungu .
 
Hongera.Mi nilipiga lakini sikupita kwenye aptitute pale quality plaza... VP kwenye oral waliuliza maswali gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom