Namshukuru Mhe. Rais

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Naomba niende moja Kwa moja katika mada napenda kumpongeza Mhe. Rais hasa kitendo Cha kuwakumbuka na kuwapa mafao watumishi waliondolewa katka sakata zima la vyeti feki.

Ni jambo jema Kwani naamini katka maisha hamna binadamu aliye mkamilifu, na Hawa wenzetu walitoa mchango wao Kwa Taifa, tena huenda kunawengine wwmepata mafanikio kupitia Hawa watumishi.

Chukulia mfano Mwalimu, huenda na cheti feki chake hicho wengine wamekuwa mawaziri, wabunge na hata Rais.

Siyo kwmba nahalalisha, Bali ni busara tu ingetumika, mwisho nawapa pole wale wote waliopoteza ndugu katka sakata hili, na wafuatilie mafao ya wapendwa wao.
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Ukiachana na Epa na Richmond hili ni bomu jingine ambalo lipo mbioni kulipuka hadharani.
 
SI shangai katika msafara WA mamba na kenge wapo😁😁😁😁😞😞
 

Alafu hutaki hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…