Chadema na siasa za unafki na uzandiki. Pole
sana le professor Lipumba kwa kuwa akili yako
ni sawa na ya panzi. Ni mwaka tuu tangia uitwe wewe ni shoga na
Ezekiel wanje tena kwenye chombo chenye hadhi
na kinachotazamwa na watanzania wote BUNGE. Mlijifanya kuleta fujo na kodi za wananchi mkazila
bure leo umedhiirisha kuwa nyie (chadema na
cuf) ni washiriki wa ndoa ya jinsia moja kitendo
chenu cha kuungana bila kufuta tofauti hizi
kunatuchanganya. Nimnukuu wanje "CCM wao mrengo wao ni wa
KUSHOTO, CHADEMA wao mrengo wao ni wa KATI
democratic, CUF ni MALIBERAL watu wanaoamini
katika ushoga na usagaji" si maneno yangu
angalia hapa.
fafanua vzr ueleweke nahic jf umekuja kwa gari la mkaa hujui chchte hili jukwaa ni la elimu cyo siasa
Chadema na siasa za unafki na uzandiki. Pole
sana le professor Lipumba kwa kuwa akili yako
ni sawa na ya panzi. Ni mwaka tuu tangia uitwe wewe ni shoga na
Ezekiel wanje tena kwenye chombo chenye hadhi
na kinachotazamwa na watanzania wote BUNGE. Mlijifanya kuleta fujo na kodi za wananchi mkazila
bure leo umedhiirisha kuwa nyie (chadema na
cuf) ni washiriki wa ndoa ya jinsia moja kitendo
chenu cha kuungana bila kufuta tofauti hizi
kunatuchanganya. Nimnukuu wanje "CCM wao mrengo wao ni wa
KUSHOTO, CHADEMA wao mrengo wao ni wa KATI
democratic, CUF ni MALIBERAL watu wanaoamini
katika ushoga na usagaji" si maneno yangu
angalia hapa.
nashukuru wewe uliekuja kwa morano.....kichwa kigumu kuelewa au ndo division five...au nenda jeshini mana mtaani kushawashinda
Thread bado haijielewi elewi hii !
Imekaa kinafiki sana !
Mpaka chama chako mwandishi tumeishakijua !
wanamacho hawaoni na wanamasikio hawasikii....endeleeni kuwa wajinga na wakati ujumbe unajielezea...naona mapovu mengi tu bila kuwa na hoja
hahahahahaha nlikuja kwa baiskeli div 5 siijui vzr coz 2007 ndo nlimaliza 4m4 kwa saiv utajua mwenyewe niko wapi. Ila huku hatujadili siasa coz ina forum yake