Nani aseme wakati wote ni walewaleZile nchi zilizopo kusini mwa Africa zinajitambua sana tofauti na hizi za africa mashariki,chukulia mfano kama burundi,rwanda na uganda wanavyokiuka haki za kibinadamu lakini viongozi wetu wamekuwa ni watu wa kuziba masikio na macho
Hiyo sijaiona, nitaitafuta. Nimeiona hiyo ya "A United Kingdom" nayoina cover the same things.Kuna ile movie inaitwa "Marriage of inconvenience" imeeleza kwa kina sana kuhusu kutakana, kupendana, kuoana pamoja na changamoto walizopitaia wazazi wa Rais Khama, namaanisha Mzee Seretse na Lady Kama.
Yaani mnalaana ninyi nibora hapa kazi tu kuliko yule Shoga.
Mngejua wenyewe wanasema kwa mara ya kwanza nchi yao inatawaliwa na Shoga
Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
We acha tu, yaani hilo swali huwa wengine tunajiuliza kila mara tunapozama kwenye tafakuri pana lakini huwa halipati majibu stahiki.Jamani sijui tumelogwa wapi sisi Tz, Botswana wanategemea madini ya Almasi, na Ng'ombe tu sijaona kingine niwe mkweli. Lakini huku tuna kila kitu, jamani jamani ina uma sana.
Ni vizuri kubadilisha uongozi ili kupata mawazo mapya lakini sio kuwa watumwa wa wengine kutuwekea viongozi sababu tu kuna vitu wanataka,queen Elizabeth tangu nazaliwa yupo ila ingekuwa Afrika wangetuletea matatizo
Uleta utulivu kwa mabavu historia zipoKuna tofauti kubwa sana kati ya mfumo na utamaduni wa kifalme na hii mifumo ya ki-republic. Mfumo ya kifalme (amao mara nyingi hufanana) huleta utulivu na ustawi (stability and propersity) kwa jamii na nchi kuliko hii mingine. Kwa sababu hakuna hofu za kuondolewa madarakani hivyo kupunguza ubinfsi, choyo, ufisadi nk nk.
Kwa uzoefu wangu, naweza kusema utawala wa kifalme is the best form of government mankind will ever had.
vipi zile za kaskazini ambazo zinatoa misaada mpaka kwa hizi za afrika mashariki... [HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] wa masomo algeria, morocco, misri nk.... msaada wa madaktari kutoka misri, msaada wa kujengewa uwanja toka morocco nk...Zile nchi zilizopo kusini mwa Africa zinajitambua sana tofauti na hizi za africa mashariki,chukulia mfano kama burundi,rwanda na uganda wanavyokiuka haki za kibinadamu lakini viongozi wetu wamekuwa ni watu wa kuziba masikio na macho
Hapo mazee Pula 10k kwa wakati huo kama USD ngapi?Wako kwenye level nyingine kabisa. Mpaka mwaka 2015 walikuwa na akiba katika bank ya dunia $ Tilion 20. Kwahiyo wameshatoka kwenye kundi za nchi tegemezi, mpaka kuwa nchi inayojitegemea. Hakuna mambo mengi swana, nimekaa pale Magodisane, West Gabs acha kabisa. Nilifanya kazi kwenye kampuni moja hivi Red Dot Pty, kama adviser tu, ila take home yangu ilikuwa Pula 10k, nina nyumba, house maid na house boy wanalipwa na kampuni. Jamani sijui tumelogwa wapi sisi Tz, Botswana wanategemea madini ya Almasi, na Ng'ombe tu sijaona kingine niwe mkweli. Lakini huku tuna kila kitu, jamani jamani ina uma sana.