napinga straight away phiri kupewa timu ya taifa.
pili, unapotaka kupata mtu wa kuchukua nafasi ya mtu mwingine kigezo kikubwa tutachokiangalia ni uwezo wa anayekuja awe na qualification na uwezo wa iyo kazi zaidi ya yule anayetoka.
Qualifications za namna gani? vyeti? Track record? Tacit knowledge? Ability to blend in and/or settle?
phiri hana distignuishable achievement yoyote ktk ukocha wake zaidi ya kuipeleka zambia afcon ambayo kwa zambia si kipya ni kitu they are used to do unlike maximo ametupeleka internal afcon ambayo haikua kawaida yetu then that is achievement. tanzania tunataka kocha wa kutupeleka afcon na world cup na kocha phiri is unlike to do that, hata iyo simba kwani ni lipi kubwa aliloifanyia hadi awe mtu sahihi kuchukua nafasi ya maximo?
Mtake radhi huyu bwana wa Zambia. Katika dunia hii nothing should be taken for granted regardless of how good or potentially good a team or an individual is. Mifano hai iko mingi tu, angalia Morocco, Senegal na Afrika Kusini, walikuwepo Angola? Je na kama si kuna wenyeji wa mashindano, Afrika Kusini wangefuzu kucheza fainali hizo?
Hii internal Afcon, tumecheza na nani? Ikiwa kombe la Gosage lenyewe tu latushinda itakuwa huko?
tunataka kocha ambaye ashawai kuipeleka timu afcon, world cup, copa america au euro na ktk klabu level awe amefanikisha timu kubeba africa champions league, ashafundisha bundesliger, uk barlays premier league, serie a, league 1 in france, spain only kama hayupo nje ya hao hafai
Dau la kocha kama huyo mtaliweza? Hao unaowataka wameshazoea madau makubwa, $10,000 inaweza kuwa ni mshahara wa wiki kwao. Halafu pili unajua makocha wengi vijana (i.e under the age of 60) hupendelea kufundisha vilabu na si timu za taifa maana huko ndio kwenye action na masilahi zaidi.
Vile vile pia kuwa na kocha mwenye pedigree kubwa sio kigezo kuwa timu ya taifa itapata mafanikio, wewe angalia akina Carlos Alberto, Paul Le Guen, Roger Lemerre etc.
Binafsi kama mdau wa Msimbazi nisengependa kuona kocha wetu anaenda Stars, mtatuyumbisha tu katika project yetu na pia Watanzania msivyokuwa na dogo mtaanza kuchonga tu from day one.
Matatizo ya timu ya taifa ni ya tactical discipline. Timu haina shape, defence iko all over the place na wachezaji wengine wanashindwa kujipanga.
Tunahitaji kocha kutoka nchi za Ujerumani, Uskochi, Uingereza au Italia. Huko tactical discipline na uwezo wa timu kucheza kimfumo na kuushika mfumo katika mechi nzima uko katika damu.