ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,458
Soccer fun's
Tunataka kupata kocha wa timu yetu ya taifa kuchukua nafasi ya Maximo ambaye muda wake unamalizia - sasa basi:--
Ni bora kufanya kazi na mtu unayemjua na unajua uwezo wake na ndiyo maana kila ofisini wakitaka kuajiri mtu huwa kwanza wanafanya internal advert wakikosa mtu mwenye sifa then wanafanya external.
Napendekeza tutumie njia hii kwamba TFF watoe kwanza internally then tukikosa ndiyo waanze kusaka nje ya nchi. Tusipofanya hivi tutakuwa tunawatenga hawa makocha wetu wa ndani na kuwavunja mioyo, na hawatakuwa na ari ya kuweka michango yao kwenye soka endapo hamtawapa nafasi kujaribu kupata nafasi hii ya juu kabisa ya uongozi wa soka wa nchi yetu.
Binafsi naona huyu Mzambia (Patrick Phiri) ambaye yupo nchini na Simba anaweza kushika timu yetu vizuri tu, ni kocha mzuri na CV yake ipo juu. Sasa kwa nini tuhangaike na watu hawa wapo na tunafahamu uwezo wao.
Natoa hoja......