Nampenda tatizo ananibania penzi

Inno laka

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,616
Reaction score
585
Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama siyaelewi kabisa hiv utamsubiria mwanamke miaka nane bila kuduu hapa si napigwa changa tu ndugu sana..
 
sasa mwaka tu unaanza kulalama watu wanasubiri five years! kumpenda mtu sio ku do tu..
 
Hivi mwaka huu 2012 kuna watu bado wanabania penzi aiseee
 
Nilikuwa kwenye mahusiano toka 2008 hadi leo ila hayo mambo sijafanya kwani nampenda kweli kuhusu kuduu hayo ni mambo ya baade kidogo kwanza jenga upendo ndio ukimbilie kuduu waweza wahi then ikawa mwisho
 
weka ishue za maana huku si mambo aambayo hayana mbele wala nyuma.
 

Aaah! babu we piga chini huyo, mbona wengine aliwapa?!! ........au ni bikra?!!
 
Hahahahaha .......... poa poa,nafurahi kuckia hivyo, ila mbona hujanisifia handsome?

nilikua nasubir ujibu salamu kwanza. hilo yabasamu tu mi hoii. unauza sura ile mbaya handsome wangu
 
samtimea unamnyima mtu sababu ? ? ? ?
Sio kwamba humpendi.
 
Love as an indescribable inner feeling, I believe, can only be demonstrated physically kwa sex. Kwa wanaume wengi, mapenzi yanabaki kuwa ni porojo kama hayajawa demonstrated kwa kufanya physically.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…