Habari zenu wana jf, km ni wazima w afya bas hii ndo furaha yetu sote. Mwenzenu kuna binti nimempenda sana na ni bint ambaye nataka nimuandae kwa kumuoa lkn nakuwa bize sana na kaz, hata nikipata nafas ya kumtafuta cmpat, bas huwa anashinda 2 ndan kwan hii pia tabia aliejijengea kukaa ndan mara kwa mara, sasa sijui nifanyaje ili nimwambie linalonisumbua moyoni kwan, she is the gal of my dream. Ushauri wako tafadhari. Help me pleaz.
nachosema wanaume wameisha
Una umri gani kwani chief?
twenty5 ma meeeen
aiseeee babayangu kamaunashindwa kumtongoza basi wewe umeshakuwa kushinei ya ni mchele unatuangusha babayangau