Blessingandaskootz
Member
- Sep 30, 2018
- 28
- 20
Demu ya mimi niko nayo kwa 2 n 1/2 years kwa relation but kwao wanazingua n ye anipenda sana.
Atakua mrundi huyuKwa muandiko huu mtoa mada
siyo Mtz jaribuni tu kumuelewa hivyo hivyo..!!
Ziii, akii' Blessing kwani hujuangi kama huwezi chukua manzi while her parents hawajakubaliana nayo??
Kwa muandiko huu mtoa mada
siyo Mtz jaribuni tu kumuelewa hivyo hivyo..!!
Ziii, akii' Blessing kwani hujuangi kama huwezi chukua manzi while her parents hawajakubaliana nayo??
Hebu rudia kusoma ulichokiandika, halafu ukae chini ujishauri mwenyewe na limuandiko lako kama chekechea
Ila kama hawakukubali basi kuna haya labda unayo:
1-una tabia mbaya/chafu
2-Huna pesa hujitumi
3-Yaweza kuwa unajiweza kiuchumi ila kiburi.
Jirekebishe na utoto acha sasa la sivyo utakataliwa maisha, trust me
Atakua mrundi huyu
Utoto bwana. .haha
Kwa muandiko huo acha wakukatalie. Hivi unajua baba mkwe wako yupo humu?
Kama mimi ndo mzazi wa huyo mwanamke nakutoa kwa panga haswaaDemu ya mimi niko nayo kwa 2 n 1/2 years kwa relation but kwao wanazingua n ye anipenda sana.
Hahahahhahahahaha ha nani akupe mwanawe mtu kama wewe?
Teh Teh TehHahahahhahahahaha ha nani akupe mwanawe mtu kama wewe?