Nampenda sana Tunu Hassani wa EFM

choupa moting

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,508
2,560
Niende kwenye mada kabisa maana sihitaji kusalimia kwakua muda huu wasomaji mmeshalala..hahahah "im kidding"

Nimekua mfuatiliaji na msikilizaji mzuri sana wa vipindi vya michezo redioni hasa vya EFM. Sasa katika usikilizaji wangu nimekuja kumuelewa sana dada mmoja mtangazaji wa radio hii anaitwa TUNU HASSAN, huyu dada kwanza ana sauti nzuri inayonivutia.

Kwa kua EFM ni redio nkawa najiuliza ntamuona vp huyu dada ikabidi nim-search instagram daaah asee demu nimemuelewa. Kwanza charming, smart na anajiheshimu.

Kuna siku zingne yaani kama ananikomoa vile anaweka zle clip zao wadada huko insta za kujifanya wanafuatisha kuimba wimbo flani yaani dah mtoto ananikosha mpaka najionaga moyo unaenda mbio.

Sasa sijui nani anashusha nanga kwa huyu mtoto. Na vipi ameolewa au bado bachelor ili Choup Moting nianze kurusha ndoano za DM huko huko instagram.

Wadau nataka mnisaidie kujua tu kwamba kaolewa au ni single girl ili nijue naanzaje mitego yangu.

74609598ccc63c190fcae218b865ef17.jpg


09b04aba7634a4b3ae98b088b6ba495c.jpg
 
We mtongoze tu yeye ndo atakwambia kama kaolewa au hajaolewa
Ila ukiambiwa ana mchumba au kaolewa basi achana nae na kaa nae mbali
 
mkuu nimekubali, but unajua unaweza mpenda mtu automatic tu unajikuta unampenda , huyo sportslady yuko powa mbaya

√ then kama ana dimples flani
 
Kumbe we ndo unataka kuniharibia ndoa yangu na mke wangu? Ngoja nikuwinde ntakupata tu Ila ujiandae nawe maana ukila Vyasa Watuu....
 
Waulizie eFM utapata ukweli nenda ofisini kwao vitu kama hivi kuwa serious!havitakiwi wengi humu kujua unawafumbua wengi!
 
Huwa nina utaratibu wa kuunga mkonyo hoja ila kwa leo samahani sana..
 
Back
Top Bottom