utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
jamani kaka na dada zangu..huyu msichana nampenda sana ila kila mara tunakosana..najaribu sometimes kukubali kosa na hata kuomba radhi but mh! hata kama nampenda sana naona mimi sio chaguo lake..nabebembeleza kila siku am tired wakuu nimesema basi basi basiii..hata kama una uzuri wa malaika ila usinifanyie ivo...tunaambiwa wanawake ni 75% ya watu duniani right? nitapata mwingine......