Nampenda sana......ila nimsaidieje?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda sana......ila nimsaidieje?.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SOGGA MTOTO, May 30, 2012.

 1. SOGGA MTOTO

  SOGGA MTOTO Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jaman nahtaji mawazo yenu nifanyeje...nilibahatka kuwa na girl friend nkampenda tena sana kumbe mwenzangu ana ttzo la maumbile yaan sehem zake za siri hazna penetration hole....mwanzoni nilzan labda ni bikira kumbe n ttzo{pameziba automatically}....nilipomdadisi sana akadai kazaliwa hvyo na hajui la kufanya ila binafsi nampenda sana kama kuna tiba,ushauri ama mawazo yenu nisaidieni nmsaidie mpenz wangu aifurahie dunia.
   
 2. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Cheki na madaktari mabingwa wa magonjwa ya wanawake unaweza kupata msaada
   
 3. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hongera kupata zaidi ya Bikira. Nenda nae sambamba kuitafuta njia!
   
 4. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hili tatizo wanalishughulikia madaktari bingwa wa upasuaji, fanya taratibu za kuweza kwenda kuwaona na watamsaidia huyo mpenzi wako.
   
 5. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Naungana na waliotoa maoni hapa juu

  "Hili tatizo wanalishughulikia madaktari bingwa wa upasuaji, fanya taratibu za kuweza kwenda kuwaona na watamsaidia huyo mpenzi wako"
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba nikuulize kitu kimoja, huyo mwanadada haendi hedhi?
  Kama jibu ni ndio basi atakua ana zaidi ya hilo tatizo uliloliainisha, ambalo nadhani sababu yake ni kufunga kwa ngozi ya bikira tangu akiwa mtoto au kabla hata hajazaliwa.
  Muhimu ni kuwaona wataalamu wa upasuaji
   
 7. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera mzigo mpyaaaaaa...peleka hospital mapema..
   
 8. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  tigo inawajibika
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  dah! Nendeni hosptl
   
 10. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Duniani kuna mengi.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Tafuta Gyno, pale mhimbili wapo. Prof Mgaya.
   
 12. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  wewe nae,mhh!
   
 13. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  DU! Zari la mentali.cheki na dokta ujimegee kiulaini
   
 14. nilkarish

  nilkarish Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anahitaji operation. njia inapasuliwa , kuna girl alikuwa kama hivo so alipotaka kuolewa akafanyiwa operation.. mita ya ulaya uko. so sijui km bongo hizo operation zinafanyka,
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hili ndilo lilikuwa swali langu.......
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kongosho wewe kifaa! Unafaa kila pahala.
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa maana hiyo?
   
 18. SOGGA MTOTO

  SOGGA MTOTO Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  "hedh Anaenda vizur
   
 19. SOGGA MTOTO

  SOGGA MTOTO Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hedh anaenda vzr
   
 20. SOGGA MTOTO

  SOGGA MTOTO Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hedh fresh
   
Loading...