Asitangulie kulee..kabla ya kumwomba msamaha mh. lissuKiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Una nyota ya mwanamke mwenye mimba!Kiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?
















Kumbuka aliwai kusema ata yeye anapiga deki
Wewe endela kumpenda MTU anaesema lissu katekeleza jumbo ilhali yupo kwenye hali hii. Na Sie wengine acha tumbezeView attachment 1245111
Kiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Hujatumbuliwa bado wewe………!Kiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Viroba vimepigwa marufuku mwenzetu wewe unapatia wapi?Kiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?
hasira kama hizo nao ni ukichaa, wahi 'kule dodoma'Kiukweli rais pombe magufuri nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahic hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Kwanini haumpendi Jiwe?Watapigana deki mwaka huu
Mbona unaniongelea mkuu!Kwanini haumpendi Jiwe?
Kwa sababu una maslahi nae ila kwa waliopitiwa ndo hawataki kabisa kumsikiaKiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Yeye anajua km unamfeel?si umfungukie tu!