Nampenda san lakin ni msaliti.


Sasa anko nisikilize wanaume ni kusaidiana. Nipe namba ya huyo mdada, wewe mwambie anko nitampigia.

Mimi nitajifanya mkali na kumuuliza kwanini anakusaliti wakati wewe unampenda, nitampanga nina uhakika baada ya hapo hizo tabia atapunguza na baadaye kuacha kabisa.

Wanaume ni kusaidiana.
 

Unamuonea hurumaeeeee msamehe akuuue kabisa Sasa Kama alivyofanya haitoshi msamehe. Naskia dawa Za ukimwi karibia watagawa bure
 
Biblia-Wimbo Ulio Bora 3: 5 Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
 
Acha kujiendekeza kwa kukosa usingizi kwa mambo ya kijinga, si bora ukose usingizi kwa kuwazia ajira angalau Waweza amua kua mlinzi kuliko huo upumbavu, umeshajua anakusaliti unataka nn cha zaidi? Labda kama unataka magonjwa lakini ukweli ni kwamba huyo mwanamke hawezi kukupenda sababu huna ela na hewezi kumtimizia mahitaji yake ya msingi maana huwezo huna, weka akili yako yote kwenye kutafuta kazi au shughuli yoyote ya kukuingizia kipato atakayekupenda atakuja mwenyewe automatically
 
Mbovu hadi unakera utadhani upo darasa la kwanza
Mbon cjachanganya herufi kubwa na ndogo au ubovu wa sura mwandiko nao unakuwaga na sura flani hivii?
 
Apo naweza kujitahidi kufanya hivyo kilichonipa mawazo ni huruma2 make najikuta kumuonea huruma sana nnapoona analia ila tabia zake ndo zinanichosha san
 
Kaka muache ukimua atakuu kwa presha mwisho WA siku
Presha nazani ningekuwa nayo ingeshaniua mapema sana namshukuru sana Mungu kwa hilo ila sio siri Mapenz huwa ni kama ugonjwa sometime
 
mvumulie tuu ce mbona mnatupanga tunavumilia sana tuu au sheria kuchepuka n kwawanaume tuu
 
Hayo mazoea sio mazuri...
Unaweza kujikuta unaandika hivyo kwenye mambo ya maana ukajikosesha sifa
Nitajitahidi sana nibadili maana kila mmoja alikuwa akiniambia mwandiko mbovu na nikiangalia nashindwa kuona tatizo make me niliona unasomeka vizuri kumbe hauna kilakitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…