Nampenda rafiki wa demu wangu

Nampenda rafiki wa demu wangu

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Ni miaka mitatu sasa nimejaribu ku control hisia zangu, lakini nimeshindwa nifanyeje rafiki wa mpenzi wangu atanionaje na je mpenzi wangu niliyemuahidi ndoa itakuaje? This is killing me.

Please nipeni ushauri msinitukane
 
duh
inaelekea huyu dem wako ulikurupuka kuwa nae ndio maana hisia zimehamia kwa rafikie
nachoona ni kaa mbali na huyo rafiki wa dem wako kwani OUT OF MY SIDE OUT OF MY MIND and BEHIND MY SIDE IS BEHIND MY MIND

ndo maana sina mafark wa kike naogopaga mambo kama hayo
 
Pole mkuu.. naona kweli ''Umechafukwa'' aisee.

Sio vibaya ukazisinda tamaa zako ... Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe.
Ukizingatia brain inachokuambia utafanikiwa... Ila ukifuata hisia zako umekwisha aisee.

Punguza mawasiliano na mazoea na kataa kumfikiria fikiria.
We all have something to overcome always.

ni miaka mitatu sasa nimejaribu ku control hisia zangu lakini nimeshindwa...nifanyeje?...rafiki wa demu wangu atanionaje...na je demu wangu niliyemuahidi ndoa itakuaje?...this is killing me...plz nipeni ushauri msinitukane haitasaidia
 
duh
inaelekea huyu dem wako ulikurupuka kuwa nae ndio maana hisia zimehamia kwa rafikie
nachoona ni kaa mbali na huyo rafiki wa dem wako kwani OUT OF MY SIDE OUT OF MY MIND and BEHIND MY SIDE IS BEHIND MY MIND

ndo maana sina mafark wa kike naogopaga mambo kama hayo

sasa nitakaa naye vp mbali wakati nampenda....yaan i knw ths z bad na mm nisingependa kutendewa hiv lakin maji yanafika shingoni..
 
mi naona umwambie ukweli huyo rafik yako ili hata likitokea tatizo tayari atskuwa anajua..!!!
jaribu tu mkuu usikute na yeye rafiki yako anampenda demu wako...!!!
hili bonge la ushauri pigeni makofi tafadharini.......!!!!
 
Jaribu kuwauliza wanalichukuliaje swala la UKEWENZA!
 
Hiyo mkuu inaitwa TAMAA u have no excuse ya kulikwepa hilo neno.

Its nomal kwa wanaume kutamanitamani hasa msichana unaemuona kila siku. Dont full uaself tht you love tht girl.

Nakuhakikishia, hata ukimuacha huyo girlfrnd wako ukaamua kuwa na huyo rafiki yake, lazima itafka wakati utamtaka mwingine.

Acha tamaa na utulie na huyo ikiwezekana oa kabisa. Ukipuuza its up to you.
 
Ndio maana wanawake wote mnaaswa waepukeni marafiki wenu wa kike mkiwa na wapenzi wenu. Mtapigwa kanzu hivihivi mkabakia mkilia machoziyya damu.
 
Sio mzima ww nenda kapime, utang'ng'aniaje kitu kisicho chako..
 
Hata dada ako unaweza kumtaka....m.z.i.n.z.i wewe
 
Uzinzi nayo fani. Ukushamdoo utajua tu ilikua humpendi bali ulimtamani. Na utakuwa umewapoteza wote na utaanza kulia kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom