Nampenda mpenzi wangu lakini ana tatizo la kuwa mkavu sana wakati wa sex naomba ushauri

jabulani2017

Member
Mar 19, 2017
79
295
Kwanza kabisa naandika haya kwa kuhitaji ushauri wenu wa dhati juu ya changamoto yangu.

Back to the topic

Iko hivii, nimekuwa na mpenzi wangu kwa takriban miaka mitano sasa, miaka minne akiwa anakuja na kuondoka mahali ninapoishi na hatimaye mwaka jana nikaamua ahamie kwangu mazima.

Changamoto yake:
Huyu mamaa amekuwa na shida ya kuwa mkavu sana during sex ambayo inapelekea yeye kukosa hamu ya sex mara nyingi tu. Sasa hili suala kwa kweli mi ndo ninakuwa muhanga mkubwa kwa kuwa sex drive yangu iko juu sana.

Yeye kuwa mkavu yes ni tatizo of which nililibeba kwa all these years kwa kusema litakaa sawa tu lakini sasa maji yameshakuwa ya shingo kidogo... sababu kubwa ni kila tukitaka kuhave sex lazima maandalizi yatumie zaidi ya 20-30 mins kuhakikisha lazima awe wet enough na pia huwaga nahakikisha anakojoa kisha mi niingie.

Shida nyingine ni pale ambapo nachelewaga kukojoa as mimi pia ni late cummer. So unaweza ukakuta tukitaka kuhave sex then kawaida ni kutumia dakika 45 hadi 50 ambayo kiukweli impelekea tuwe tunaishia kwenye bao moja kila siku kutokana na ukweli kwamba kila nikiwaza kuhave sex nae nawaza namna ya kumuandaa na muda tutakaotumia na kujikuta bao moja kwa siku ndo imekuwa desturi yetu..

Anatamani sana angekuwa tofauti ili aweze kutimiza pale ambapo panapungua sema ndo vile...Tukanunua hadi lubricant kusaidia lakini mimi si muumini wa vilainishi as napenda natural ways...

Okaaay, let me clear the air hapa...kabla ya kuwa na mahusiano nae huko nyuma nilishapita na mabinti kadha wa kadha...Lakini sikuwahi kukutana na tatizo na hakuna ambaye nilikuwa naenda nae below 2rounds. Wote ilikuwa ni 2 hadi 6 kwa ma sex freaks wenzangu.

kwa kweli inaniwia ngumu sana sana as napitia sexual starvation yani sitosheki kabisa sexually na inani affect kisaikolojia as nikiona mwanamke yoyote natamani niwe nae anitimizie mahitaji yangu sexually....Napata taabu sana psychologically and health wise na namaanisha kweli i really need help..

Hili tatizo limepelekea kupungua ama kutokuwa na hamu na mpenzi wangu kabisa, najua sio yeye alipenda kuwa hivii bali imetokea tu bahati mbaya kwake.

Bottom line is, She is the woman that i love na nataka kuishi nae for the rest of my life...

NB: Ushauri wa namna ya kulipunguza tatizo au kulimaliza kabisa tatizo unahitajika...iwe wa mitishamba ama modern medicine utatusaidia sana sana. Natanguliza shukran kwa wote, maana sisi wanaume sometimes tunakufa na mengi kwa kuwa hatuna pa kuelezea tunayopitia.

Nashukuru platform itanisaidia kupata ushauri na maoni constructive...
 
Nafikiri ukienda kwa madaktari wa wanawake watakushauri. Mwanamke kukosa ute huwa si dalili nzuri sana. Kingine hebu ajaribu kula bamia kila leo. Azipike kawaida tu pia na nyanya chungu, zinasaidia sana.
Wengine wameshuri kitoto, ila wewe umeongea Kiutu uzima
 
Ahakikishe anakula mchemsho wa bamia walau mara nne kwa wiki

Nunueni nyanya chungu (ntole) zile kubwa zisizo za uchungu mnatakiwa kuzichoma walau tatu au nne kila siku jioni kwenye jiko la mkaa ziive taratiibu kama vile wanavyochoma mihogo, viazi na ndizi i.e moto usiwe mkali kisha atazitoa ganda lake na ale kabla hazijapoa sana.

Chukua kitunguu maji kimoja na tangawizi moja visage au viponde kwenye kinu au Brenda kisha vichanganye na maji glass 1 kubwa iliyojaa koroga sana kwa dakika tano halafu chuja vizuri kisha changanya asali mbichi kijiko kimoja na nusu, koroga vizuri kisha anywe nusu saa kabla ya kufanya nae mapenzi kila siku.

Kuna mwanamke alikuwa na tatizo kama hilo lakini baada ya kutumia hivyo vitu anakuwa wet kiasi cha hata yeye kutamani kut*mbwa zaidi ya hata mara tatu kwa night na maji yanayomwagika wakati wa kusex nae si ya kitoto.

NB; usisahau kuleta mrejesho jabulani2017
 
Acha kupiga mzigo kila siku jaribu walau kwa wiki mara2

Ukijua leo unataka game la kivita akikisha unaitumia hyo siku kwajili ya kumfurahisha mkeo kama outing nk.

Kama ni mtumiaji wa pombe mruhusu atumie kwa kiasi na kama hatumii mshawishi atumie zile laini kabisa ili kumuweka free stress

Kabla ya game zameni bafuni wote ogeni pamoja tumieni mda mrefu huko bafuni mkichezeana kurushiana maj nk.

Kama mlizoea kupigia mechi chumban badilini mazingira...

Hali ikiendelea waone wataalamu mm ni mshauri tu.


Nb;kusex na mwanamke kila siku kunaweza mpotezea hamu ya tendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa kinyarwanda , maeneo ya kagera, etc huwa Wana maji mengi mno! Sasa baada ya kuuliza niliambiwa huwa inatokana na asili ya chakula kinachopatikana ktk ukanda wao!

Ushauri! .. mwambie awe anakula ndizi za kupikwa kwa wingi, Ntole, na maziwa kwa wingi! Utaona mabadiliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyo taja tatizo kwenye uzi wako kidogo ulinishtua, nikajua shemela wetu anatatizo kumbe ni ishu za kawaida tuu, swala la kumuandaa mwanamke kwa muda mrefu ni jambo la kawaida cos wanatofautiana hawa binadamu kuna wanao wahi kupandisha midadi na wengine wanachelewa, huyo wako ni kati ya wanaochelewa kupandisha mizuka! So hy ni kawaida mkuu we mzoee tuu otherwise hakuna mkamilifu chini ya jua kila mtu anamapungufu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikushauri mwambie apendelee kula sana bamia achemshe anywe juice ya bamia mchana na jioni kwa muda wiki 7 ,

Utakuja kunishukuru

sent from toyota Allex
 
Atakuwa avutiwi na wew aisee...mwanamke anekupenda akikuona tu lazima amwage...pia kama vp mpe gape sio kila siku unataka kudumbukiza bro...swala la kutaka kila siku ni saikolojia tu ukijitwist otherwise na mwali nao ukakubaliana na wew.
 
Ale bamia kwa wingi pia asitumie sabuni kali kuosha sehemu za siri, maji yanatosha kabisa kuosha hayo maeneo.
 
Atakuwa avutiwi na wew aisee...mwanamke anekupenda akikuona tu lazima amwage...pia kama vp mpe gape sio kila siku unataka kudumbukiza bro...swala la kutaka kila siku ni saikolojia tu ukijitwist otherwise na mwali nao ukakubaliana na wew.
Okay
 
Miaka mitano (5) bado mnazini tu? hiyo ndo naona kama tatizo kubwa kuliko hiyo tatizo ya ukavu.
 
Back
Top Bottom