Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Hhehehehehehee nili like comment yako ya kusema wajihi wa Dadii unafanana na wajihi wa Mahabat wako....
Nikaenda tafuta screen shot ya Wyatt narudi nijibu siioni... sijui mashokolo mageni au uzee. Basi acha nijibie hapa...
Dadii wa Kasie yuko humu kuhusu kumtaja mie hata sitomtaja ila akitaka mwenyewe atajitaja maana anasoma yote haya.Ikiwa Dadii wa Kasie ndo huyo huyo Mahabat wako, hehehehe mie ugomvi siujui na siuwezi, ila kumuacha Ddadii siwezi. Ukiweza wewe shughulika akiwa kwako akiwa kwangu nampa Mahaba trillion.
Dadiii.... unatafutwa hukuuuu
Ukiweza kuhimili shauku ya members wa JF jitaje tuu mie sina hiyana sinaga wivuu hata kigogo. Wakitaka wape ila dozi yangu iko pale pale, haiongezeki wala haipungui heheheheheee.
Kasie Matata.
Duuh!
From page 1 to page 132 ?
This shit is for the Guinness World's Record Book!
Maana tukichukua roughly per page ni messages 1000 (maana thread moja ya majibizano ni hell of a count) then una messages zaidi ya 132,000!
Ina maana kuna seriousness fulani hivi JF watu kuimbishana
Ambapo ni lazima kutakuwepo na success rate fulani hivi ya actual/real life interactions,pussy banging and what not....
Ni even more mind boggling maana supposedly JF anonymity ni kigezo cha kwanza...
Ila at some point lazima wanavue anonymity....
Which makes anonymity useless to begin with!
Hhahahahahahahahhahaa told you on the first place usinitegee banaaaa
On the second place told you, is it a dialogue or what not...??!!
You keep on on the on.... hahahahahahahahaa
Just tell me..... any conflict of interest??!!!
Any interest...??!!
Au ndo reserch zinaendelea JF hehehehhehehe looh watu wana mambo!!
To my low knowledge reserchers either for Masters Degree of PhD have to incur some cost while collecting some information. Either by paying those who give them information or by paying other people to collect data for them to compile the report. I wonder if Max Melo is paid even a pinch from those who are doing their research here in JF.
From your estimate calculations can't say yes or no.... just to correct page moja yaweza kuwa na line ya PMs like 12 au 12, sasa kila PM ina conversation ngapi......... please don't research on me...
Saying that, won't answer some of your questions or doubts just because I don't feel like.
K' Matata.
Hhehehehehehee nili like comment yako ya kusema wajihi wa Dadii unafanana na wajihi wa Mahabat wako....
Nikaenda tafuta screen shot ya Wyatt narudi nijibu siioni... sijui mashokolo mageni au uzee. Basi acha nijibie hapa...
Dadii wa Kasie yuko humu kuhusu kumtaja mie hata sitomtaja ila akitaka mwenyewe atajitaja maana anasoma yote haya.Ikiwa Dadii wa Kasie ndo huyo huyo Mahabat wako, hehehehe mie ugomvi siujui na siuwezi, ila kumuacha Ddadii siwezi. Ukiweza wewe shughulika akiwa kwako akiwa kwangu nampa Mahaba trillion.
Dadiii.... unatafutwa hukuuuu
Ukiweza kuhimili shauku ya members wa JF jitaje tuu mie sina hiyana sinaga wivuu hata kigogo. Wakitaka wape ila dozi yangu iko pale pale, haiongezeki wala haipungui heheheheheee.
Kasie Matata.
Nlifuta maana namaliza kuandika na yeye anafika, nikasoma juu kuwa uko nae 5star hotel, lol enjoy mami, ngoja nami niwe na msimamo kama wako mami.
Its okay Kasie,I understand your position...
Nilikua naulizia kiroho safi tu wala usiwaze vibaya!
Hahahahahaa
Thanks though!
usikute ni mzeeh kabisaHamuwezi kuwa hivi maana maji ya Bahari ya huko hayana chumvi yenye sukari kama ya huku hehehehee
Aaaah Go Gagaa.... Onesha mazagazaga....
Shurti kutaga..... Mahaba Matata
Ngoja niwaoneshe... oneni oneni.... hehehehehhee
K' Matata.
Nimerekebisha, nilikuwa sijaelewa umemaanisha nini.
Jioni njema.
duuuh ngoja nikuonee aibuKumbe peke yako ndo ulikuwa hujui......
Hiyo usikute ambayo huna hakika nayo ndo uhalisia wenyewe....
Haya waonesheee waoneeee.... waonesheee waoneee...
Enjoy mami, msalimie dadii.
go gaga ...
Mtoto wa hela, mambo. Sijui ilikiwaje sikuona comment yako...
Pole kwa stareheHahahahahhaa achaa
Kama ulikuwepoo.....
Mahaba Matata halafu Matamuuuu....
Kasie Matata.