Falsafa ya utumbuaji wa majipu imepolewa vema na wananchi.Hata hivyo kuna kero moja ya msingi ambayo inatia doa falsafa hiyo.Double standards!Wapo watu ambao hawaguswi,inaelekea kama JPM amefungwa mikono in some areas.Tatizo hili tumeliona Bank Kuu,kwa Kitwanga,Lugumi,Muhongo,Makamba,wakwepa kodi nk.Ni vema JPM akatambua kwamba intergrity ya serikali yake itategemea jinsi anavyosimamia falsafa yake bila kuyumba.