Nampenda lakini still anacheat na ex wake

Nampenda lakini still anacheat na ex wake

Wakuu nina mpenzi wangu nampenda sana lakini huwa ananicheat na kusex na ex wake ambae wanafanya nae kazi ofisi moja na kila nikimuuliza anakataa na kujifanya kununa hali inayosababisha kila wiki tugombane.Nimemvumilia vya kutosha nampenda sana ila nashindwa kuvumilia kumegewa na jamaa.Nisaidieni ushauri please

Fukuza mapema sana huyo ana asteris.timua fasta
 
Back
Top Bottom