daah, asije akanichenchia ikala kwangu maana saiz wateja adimu kweli kweli..!!Fuatilia kama ana mtu, ukigundua hana fanya fasta kumtongoza acha uoga we ni mwanaume.
daah, asije akanichenchia ikala kwangu maana saiz wateja adimu kweli kweli..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kingine nahofu ya kumwomba no, nahisi kwamba ataaniuliza nataka ya nini..!!Mkuu embu jenga urafk nae kwanza ili umuweke kwenye comfortable zone then baada ya hapo utajua nn ufanye maana unaweza mtongza ukakosa mteja anaekupa commision ya mwenz
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]nitalia mno, ngoja kesho akija nijifanye kama najikuna kumuongelesha kuhusu haya mambozi!!Huo uthubutu ndio uanaume sasa, ukiendelea kusubiri atakuletea kadi ya harusi
Urafik sio lazma umwombe namba Mkuu jenga mazoea hata kukupa namba iww rahis kwakekingine nahofu ya kumwomba no, nahisi kwamba ataaniuliza nataka ya nini..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha we!Mkuu embu jenga urafk nae kwanza ili umuweke kwenye comfortable zone then baada ya hapo utajua nn ufanye maana unaweza mtongza ukakosa mteja anaekupa commision ya mwenz
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]nitalia mno, ngoja kesho akija nijifanye kama najikuna kumuongelesha kuhusu haya mambozi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Niache nin dada espy?Wacha we!
nahitaji kuwa na mpenzi mmoja wa malengo naye, maana kuna maisha ya ndoa baada ya huu ujana.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Niache nin dada espy?
@espy unakumbuka mara yangu mwisho kupost ilikuwa lini, arafu kingine me napost uhalisia na sio ilimrad napost tu..Wewe ndio ulikuwa unamshangaa mwenzio na nyuzi zake za kila dakika!![emoji134][emoji134]