Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
tupa kule huyooo tena weka mbali sana na tembo huyooo
Hizo movie, kuosha vyombo, kupika na beki tatu vyote vinapatikana huko Jeshini?
we jamaa ni kilaza mbaya hata kiswahili hujui kuandika,hufai hata kupewa ushauri ...stori hata haieleweki
Hahaaa basi hiyo Kambi kiboko......
Atakuwa mwamiaji haramu huyu.
Mwana jf naombee mnishauri,
Mimi nikijana ambae nilijiunga na Jeshi la JKT kwa upande wa kujitolea. Naingia jeshini, ktk intec yetu tuliunganishwa na vijana wenzetu kwa mujibu wa sheria, kipindi mafunzo yanaendelea, nilitokea kumpenda mschana mmoja wa wa mujibu. Nayeye pia alinielewa.
Sasa shida inakuja mm ni mtoto wa uswazi na kimwönekano yule binti ni wakishua. Kwanza kupika hajui, kuosha vyombo shida, kifupi hakuna kazi amboyo anaweza kama kama mwanke, yeye ni move, akichoka Kulala kilakitu bek 3.
Kiukwel nampenda lakini nahic sita mueza mnishaur naweza kuish mtu kama huyu!
Emotions are emotions tu.....hata mkiwa wapi mnaweza kupendana tu......
Sasa huko JKT aliishi vipi?
kama kila kitu hawezi?
halafu huu uoga hata wa kujaribu kuona mtaishia wapi unatoka wapi?
kwani mkishindwana mkiachana kuna shida gani?
wewe ni JKT kweli?
hata hili waogopa?
Mwana jf naombee mnishauri,
Mimi nikijana ambae nilijiunga na Jeshi la JKT kwa upande wa kujitolea. Naingia jeshini, ktk intec yetu tuliunganishwa na vijana wenzetu kwa mujibu wa sheria, kipindi mafunzo yanaendelea, nilitokea kumpenda mschana mmoja wa wa mujibu. Nayeye pia alinielewa.
Sasa shida inakuja mm ni mtoto wa uswazi na kimwönekano yule binti ni wakishua. Kwanza kupika hajui, kuosha vyombo shida, kifupi hakuna kazi amboyo anaweza kama kama mwanke, yeye ni move, akichoka Kulala kilakitu bek 3.
Kiukwel nampenda lakini nahic sita mueza mnishaur naweza kuish mtu kama huyu!
tupa kule huyooo tena weka mbali sana na tembo huyooo
Ni kweli ulivyosema lakini kumbuka jasili haachi asili hayo atafanya kwa muda tu wakati ndoa iko hoti ikipoa na mambo mambo kuanza lazima atarudi kwenye hali yake tu, mwanaume anayependa mpira ukimwambia sipendi urudi usiku wakti unajua mpira huonyeshwa usiku utakuwa unaidanganya nafsi yako maana atakuridhisha kwa siku chache the rest ataendelea je hapo utakuwa umesolve tatizo? siku hizi wanawake wameweka kupika kama hobi na si wajibu kama ilivyokuwa zamani na kumbuka hobi haifundishwi ni rahisi sana kumkuta mwanamke ambaye hajui kupika,kufua hata usafi wa ndani hajui anachojua ni kuoga na kwenda salooni,na wasichana wa siku hizi wazembe kweli hata kupaka rangi kwenye kucha au ina eti hawajui wanaenda saloon mwisho wa siku unakuta una mwanamke ambaye hajui chochote zaidi ya kugegedwa maana ile huja automatic hata kama hajui style nyingi ila kifo cha mende ambayo haitaji ujuzi wowote,mwisho wa siku mtajifariji wkt mapenzi yamekorea na ndugu wanamsema et oooh mimi sijaolewa na ukoo wote wkt unajua system ya familia za afrika ni extended,wanawake wajifunze siyo zamani tu hata leo hizo zitabaki kuwa basic qualities kwa wanawakeSiri moja mwanamke akimpenda mwanaume watafanya kila wanaloweza ambalo liko kwenye uwezo wao kumfurahisha huyo mwenzi wake!!Kwahio kujifunza hapo ni cha mtoto kabisaa...