kuna kijana mmoja nimetokea kumpenda sana,, yani upendo wa kweli kutoka moyoni mwangu,, lakini siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda nifanyeje aweze kuelewa hisia zangu,,, maana ni mwezi sasa nagumia maumivu,, sijui nifanye nini? wapendwa nisaidie naumia,
Hebu funguka mdada kwanini ufe na tai shingoni?Hayo ni mambo ya kizamani siku hizi na sie tunatongoza
mbona ulishindwa kuniambia kuwa wanipenda! Teeh
Kuna kijana mmoja nimetokea kumpenda sana, yani upendo wa kweli kutoka moyoni mwangu, lakini siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa Afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda nifanyeje aweze kuelewa hisia zangu.
Maana ni mwezi sasa nagumia maumivu sijui nifanye nini?
Naanzaje kukupenda wewe.Mie nimeishapendwa ndugu yangu