Elias bosco
Member
- Jun 28, 2013
- 30
- 8
habar zenu wenzangu, msema kweli mpenzi wa mungu nimetokea kumpenda mwanaume fulani ukwel wa kumpenda ila kinachonisikitisha hata hatambui hilo kwan hata salam hanipi na kumuambia ukwel naogopa. hivyo nabaki naumia mwenyewe. je wenzangu nifanyaje?
Kwani amekuwa panya au fuko? Sio vzr kumbyatia mwenzako wakati hana taarifa..lol
Huyo unampenda anajishughulisha na shughuli gani? Ukifahamu hilo utakuwa na uwezekano wa kuwa naye karibu, kwa mfano kama ni mfanyabiashara kanunue bidhaa zake na kutengeneza mazingira ya kuwa naye karibu utapata nafasi ya kueleza yako.
nyimbo inaitwaje B
habar zenu wenzangu, msema kweli mpenzi wa mungu nimetokea kumpenda mwanaume fulani ukwel wa kumpenda ila kinachonisikitisha hata hatambui hilo kwan hata salam hanipi na kumuambia ukwel naogopa. hivyo nabaki naumia mwenyewe. je wenzangu nifanyaje?
habar zenu wenzangu, msema kweli mpenzi wa mungu nimetokea kumpenda mwanaume fulani ukwel wa kumpenda ila kinachonisikitisha hata hatambui hilo kwan hata salam hanipi na kumuambia ukwel naogopa. hivyo nabaki naumia mwenyewe. je wenzangu nifanyaje?
Inaweza kuwa ngumu kwako kumtakia mwanaume waziwazi kuwa wampenda, ila waweza kumpa dalili Fulani ili azitumie kuja kwako. Kwa mfano, unapokutana naye hakikisha anakutazama kisha mpe tabasamu saafi kabla ya kumsalimia. Fanya hivi mara kadhaa kila ukutanapo naye. Hilo tabasamu litampa ujumbe na ipo siku atakusimamisha na kuzungumza nawe kirefu. Hapo utakuwa umeshamnasa dadaaa!Ila chunga sana usije ukamtakia 'mshikaji, nakupenda ile mbaya!'habar zenu wenzangu, msema kweli mpenzi wa mungu nimetokea kumpenda mwanaume fulani ukwel wa kumpenda ila kinachonisikitisha hata hatambui hilo kwan hata salam hanipi na kumuambia ukwel naogopa. hivyo nabaki naumia mwenyewe. je wenzangu nifanyaje?