Elias bosco
Member
- Jun 28, 2013
- 30
- 8
habar zenu wenzangu, msema kweli mpenzi wa mungu nimetokea kumpenda mwanaume fulani ukwel wa kumpenda ila kinachonisikitisha hata hatambui hilo kwan hata salam hanipi na kumuambia ukwel naogopa. hivyo nabaki naumia mwenyewe. je wenzangu nifanyaje?
Huyo unampenda anajishughulisha na shughuli gani? Ukifahamu hilo utakuwa na uwezekano wa kuwa naye karibu, kwa mfano kama ni mfanyabiashara kanunue bidhaa zake na kutengeneza mazingira ya kuwa naye karibu utapata nafasi ya kueleza yako.