huyo hana msimamo chukua vyako temana nae!
Habari wana JF, Nina mpenzi ambaye nampenda sana na tumeanza chini sana akiwa hana hata kitanda,leo hii ana kila kitu amenibadilikia na anasema anakwenda oa kwao coz kachaguliwa mke na wazazi wake.Nashindwa nifanyeje na ukizingatia vitu vyote vya ndani tumenunua wote,ushauri wenu wapendwa.
Ni rahisi kuchukuwa vitu kuondoka lakini si rahisi kumpata mwingine mliyezoeana kama huyo mliyekaa muda mrefuu kwa kuaandaana. Kumbuka miaka hii ukikwaza hata akija mwingine mwenye uso unaoona aibu huwezi mwamini hivyo usiwe mwepesi kushauri kitu ulichokifanya wewe mahusiano yana mengi...
Kuondoka kwenye mahusiano uliyo/mliyoyaanda wenyewe ni rahisi ila kuyapata huko uendako ni ndoto.
Endelea kupenda hivyo vitu mlivyonunua pamoja utashangaa ndo kitakuwa chanzo cha ugomvi wenu,maana ndo vinakuweka bila hivyo angesha kupiga teke maana kwa kauli hiyo in red,jamaa ameshahamisha kambi.....Habari wana JF, Nina mpenzi ambaye nampenda sana na tumeanza chini sana akiwa hana hata kitanda,leo hii ana kila kitu amenibadilikia na anasema anakwenda oa kwao coz kachaguliwa mke na wazazi wake.Nashindwa nifanyeje na ukizingatia vitu vyote vya ndani tumenunua wote,ushauri wenu wapendwa.
Habari wana JF, Nina mpenzi ambaye nampenda sana na tumeanza chini sana akiwa hana hata kitanda,leo hii ana kila kitu amenibadilikia na anasema anakwenda oa kwao coz kachaguliwa mke na wazazi wake.Nashindwa nifanyeje na ukizingatia vitu vyote vya ndani tumenunua wote,ushauri wenu wapendwa.
mambo ya joint venture yamesanuka,hivi unanunuaje vitu na mwanaume hata kwao hupajui?pole..lkn kama anafanya hivyo huyo si riziki..ondoka japo inauma lkn utapona na utampata anayestahili
ishakula kwake,kamegwa bure na vitu kamnunulia jamaahapo ndipo mnapokoseaga, si kila uhusiano lazima uzae ndoa ... Hebu wewe mwenyewe jiangalie na jiulize, unastahili kuwa mke?jiangalie vizuri ndani mpaka nje! Then, kumbuka mkataba wenu ulikuwa ni wa ndoa au baada ya 'show' ukaleta ujanja wa kumganda mshkaji mazima? Mwisho, huwa mnapenda sana hii kitu ya "alikua hana kitu, vitu vyote tumenunua wote" mmmh????95% huwa mnakuza mambo, sidhani kama vitu vyote mmenunua wote ....
Ushauri wangu, kama kweli una amini, wewe ni 'kifaa' chapa lapa, mungu anakuona, utang'aa mbele kwa mbele ....
Ushauri wangu, kama kweli una amini, wewe ni 'kifaa' chapa lapa, MUNGU anakuona, utang'aa mbele kwa mbele ....