Nampenda ila hanitaki hata kunisikia

 
Nenda kwa mganga bwana, ukifanikiwa nipe mrejesho na mimi kuna kaka ananizingua halafu mie nammind nataka kama yako itatiki nami nikamloge kwa huyo mganga, ahahah
 
mchawi pesa saka mawe utakula tu hao hata km unamtaka rihhana but nipe no yake au hauna
 
Okey,kagundua unampenda,hebu,achana nae Fanya yako,usimuwaze,na ukienda kwa mganga dawa zikiisha utajuta,kama kiatu si saizi yako cha nn kukinunua,?hebu songa mbele ,usijejuta badae,muombe Mungu juu ya hilo uweze kumsahau akilin mwako na uwe n aman
 
Acha k
Acha kumuwaza na endelea na shughuli zako za kila siku
 
Nadhani kilichompelekea aseme huyo mwanamke anaempenda anapenda masharobaro ni wivu ambao umechanganyika na wivu. Hii inaonyesha anampenda sana. Na ni hatari sana kumpenda sana MWANAMKE asiekupenda hata kidogo.
Wakati mwanamke akiwa anafanya mambo yake ama maamuzi yake kwa kutumia AKILI huyu yeye atakuwa anasongwa na emotional decisions and judgement. Asipokuwa makini kuna siku atajilaumu kwa kuendekeza UJINGA wa MATAMANIO ya Mwili.
 
Hivi kwani lazima unayempenda uwe naye????

Ndiyo nyie mnaumizwaga wewe jitu hupendwi ila unaforce weee badaye akikumwaga unalialia.
 
Hivi kwani lazima unayempenda uwe naye????

Ndiyo nyie mnaumizwaga wewe jitu hupendwi ila unaforce weee badaye akikumwaga unalialia.
We ukipenda unafanyaje!! Bila shaka utapgania unachopenda na ndio ninachojaribu kufanya!! Tena nyie wanawake ndo mnakunywaga had sumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…