Mr lover lover
Member
- May 15, 2013
- 80
- 10
Ukifanikiwa hongera mkuu kwa kuuangusha mti wa mkuyu
Ingia tovuti ya bunge utapata mawasiliano yake!
Hujakosea kumpenda ni haki yako pia haki yake kupendwa! Ni mzuri na hasa hiyo sauti yake ya kukauka na kukwaruza itakusuuza zaidi akiwa mkeo!
Mh. Halima; dili hiloooooo
Mario baroteli.
nimevumilia sana jamani but huyu mdada mi nampenda sana.sauti yake,swaga zake sio za kisister duu ndo nakwisha kabisa namtafuta sana kama mtu akimuona anifikishie ujumbe wangu.alafu nashangaa mkononi hana pete ya ndoa mi nitamvalisha ntampa mapenzi motomoto na hata jutia kuwa na mimi.halima please i love you.mimi ni kijana ambaye anakufaa sina mademu wengine najua kupenda kaelimu kangu kazuri njoo tujenge familia tafadhali.
Mario baroteli.
Umeona.e?hana lolote.unless atuambie kipato chake kinamkaribia au ni nusu ya.
Hana pete ila ana ujauzito, anzia hapo!
View attachment 95910[/QUOHTE]
HUYO ALIEZUNGUSHIWA NDIO NANI???
hakuna aliezungushiwa hapo
kipenzi changu cha roho halima.amesimama kikakamavu vile mi natakaga awe asiwe legelege.