Nimeshafuta mama kayasome tena uone.Baba watoto mbona unaandika maneno yenye ukakasi
Hapa ndipo na shangaa jf sijui mtu anapenda avatar sijui thread zake aisee!Wanajukwaa nimetokea kumpenda demi nikimfuata inbox yupo locked ,roho yangu imemfia nataka aizike,mwili wake ndio kaburi la roho yangu,nisaidieni nimpate
Unanitania eehNimeshafuta mama kayasome tena uone.
Mbona naskia harufu ya matamanio ndani ya hii post?Wanajukwaa nimetokea kumpenda demi nikimfuata inbox yupo locked ,roho yangu imemfia nataka aizike,mwili wake ndio kaburi la roho yangu,nisaidieni nimpate
Demi amekuuma mno kumfuatilia endelea naye nipo na Kasie
Hhaha kinachonifurahisha JF ni kwamba hakuna anayemjua yeyote.Waweza kumtongoza baba yako mzazi ukiamini ni demu mkali au kinyume chake.