Inaruhusiwa ?Tukusaidieje mzee baba?
Mtongoze jukwaani kama PM kaifunga.
Kutongoza jukwaani?Inaruhusiwa ?
Angalia mkuu utakuja kupakwa mafuta malaini, umejuaje kama demi ni mwanamke?
Hawataki ufanikiwe usiwasikilize.mtapenda na mashetani...
we mchuze tu mwenzio...Hawataki ufanikiwe usiwasikilize.
Ni hatari kwa afya ya ubongoKutongoza jukwaani?
Kabisa anza sasa wakati ndiyo huu.
Kuwa mpole mzee baba.we mchuze tu mwenzio...
Kijana kuwa makin sana na uyo mamaWanajukwaa nimetokea kumpenda demi nikimfuata inbox yupo locked ,roho yangu imemfia nataka aizike,mwili wake ndio kaburi la roho yangu,nisaidieni nimpate
au we ndo demi nini mbona unamvutia jamaa chobisiKuwa mpole mzee baba.
Hahaha....kwamba namvuta anitongoze kwa Id ya demi..au we ndo demi nini mbona unamvutia jamaa chobisi
ahahahahahhaaa akachunwe?Hahaha....kwamba namvuta anitongoze kwa Id ya demi..
Hapana bhana nampa kijana matumaini aelekee kibla akachunwe.
una maana hata wewe nisikuamini waweza kuwa mtoto mlegevu toka mombasa?
au we ndo demi nini mbona unamvutia jamaa chobisi
Baba watoto mbona unaandika maneno yenye ukakasiHahaha....kwamba namvuta anitongoze kwa Id ya demi..
Hapana bhana nampa kijana matumaini aelekee kibla akachunwe.
Nahisi huyo demi atakuwa mtamuWanajukwaa nimetokea kumpenda demi nikimfuata inbox yupo locked ,roho yangu imemfia nataka aizike,mwili wake ndio kaburi la roho yangu,nisaidieni nimpate