nampenda binti wa kimeru lakin simuelewi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nampenda binti wa kimeru lakin simuelewi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by by default, Aug 28, 2012.

 1. by default

  by default JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari wana MMU,

  Naombeni ushauri wenu; kuna msichana ninampenda nataman aje kuwa my wife lakini amekuwa mgumu kufunguka alipomalza six 2010 nilimgusia kuwa nataka kuwa nae akawa na kauli tata mara yupo inrelationshp mara yupo busy na shule ikatokea nikasafir nilporudi nikakuta kaenda souz kusoma, nilmtafuta kweny facebook nikampata 2011 nikamuomba # akanipa lakni sikuwa nawasliana nae sana mwaka uhu april kabdilsha mtandao.majuma mawil yaliyopta alikuwa TZ likizo nilimuomba namba kuptia facebook akanipatia tukawasiliana lakni sikugusia mapenzi. Nikamuomb # ya south akanipromic atanipatia namb anayotumia huko akishafika lakini sikumoja kabla ajaondoka nilimpgia kumtakia safar njema akanipotezea,kesho yake asubuh simu yake ikawa off.

  Juzi nimemuandikia inbox nikafunguka kuonyesha dhamira bado nampenda mtoto kanipotezea. Upande wa pili mama yake na binti ni family friend na tangu MAMA yangu amefariki last year amekuwa akiwasiliana nami mara moja moja, imefkia stage ananipa ushauri nisiowe mwanamke wa kabila la mbali, lakni sijawai mwambia huyu mama kuwa nampenda binti yake nayey ajawai kumtaja wakat tupo kweny mazungumzo ila uwa ananiambia ARUSHA wapo mabinti wazuri sana. Utata kwa huyu mama ni kwamba kijana wake kaowa mzungu.
   
 2. U

  Udaa JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Peleka posa kwao,majibu utayapata.
   
 3. by default

  by default JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu nimecheka sana, asante ushauri wako umeingia akilini nitaufanyia kazi,akika jf greater thnker
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,916
  Likes Received: 5,079
  Trophy Points: 280
  inawezekana binti hana hisia na wewe.....??
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Yaani umechanganya vitu vingi.

  Umeru wa huu msichana na ni ya wewe kutaka kumuoa unaingiaje??
  Utata wa kijana wa huyu mama kuona mzungu na nia ya kumuoa binti umeingiaje??

  Kwa kifupi, huyu binti anakuona kwa mbaaaali, hauko karibu yake
  Ndio maana maombi yakop anayapotezea, labda hajaamua kukwambia straight 'usimsumbue' sababu anakuonea aibu.

  Anyway, jaribu kumpigia mara ya mwishi akupe msimamo wa ke wa mwisho lakini inavyoonekana huna lako hapo.

  Halafu, mama wa binti kusema usioe wasichana wa mbali haimaanishi anataka umuoe binti yake. Na hata kama anataka umuoe binti yake, si mama anayetakiwa kukubali bali ni binti mwolewaji mwenyewe ndio akuambie kama anakupenda kwa ajili ya ndoa ama la/

  Good luck, inaonekana umependa!
   
 6. by default

  by default JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe wasema!
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Aaiiseee ni vigumu kuwaelewa wasichana wa huko.....endelea kumfuatilia utakuja niambia.....
   
 8. by default

  by default JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  utata wa kijana wake kuow mzungu yey anasema mi nipo mwanaume peke yangu kwetu nisiowe mbali wakati na yey anamtoto mmoja wa kiume lakini kaowa mzungu mweupe.
  Binti kuona aibu kunipa kavu inawezekana coz amesoma na mdogo wangu na hadi sasa bdo ni marafiki na ata alikuwa akija dar anafikia kwetu. Kongosho akuna kinachoshindikana chini ya jua dhamira ya kweli ndo ngao.ninavyo mpenda huyu binti ata shamba nitauza nilipe mahari
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 851
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Kwa mtazamo wangu naona kama vile unapoteza muda wako na kujiumiza bila sababu yoyote, kutokana na maelezo yako inaonekana kabisa huyo mmeru hana mapenzi na wewe hata kidogo.

  Mimi nina uzoefu wa kutosha kabla sijaowa nilipitia huko unakopita sasa, mtu anayekupenda hawezi kamwe kufanya kama huyo mmeru. Isitoshe uzoefu unaonyesha ni vigumu sana kwa watu walio mbali kufanikiwa kwenye mahusiano na kweli ndiyo maana watu wa zamani walisema fimbo ya mbali haiuwi nyoka.

  Pia aibu zako za kutokuweka mambo wazi mapema kwa huyo mmeru ni kosa kubwa. Kusema mwanamke wa kimeru kwa maoni yangu naona ni ubaguzi ambao siafikiani nao hakuna sababu ya kutaja kabila naona kama unatafuta kashfa za kikabila kwa sababu kila kabila lina mazuri na mabaya yake ila watu wanabadilika kutokana na mazingira wanayoishi, elimu na imani za kidini. Kama unaangalia kabila nakushauri utafute wa kabila lako na uwashirikishe ndugu zako ili usitusumbue kutaka ushauri kwetu tena.

  Umuombe sana Mungu akutangulie katika hilo kwa kutenda mema na kuzishika amri zake bila hivyo sala zako zinaishia hapahapa.
   
 10. N

  Neylu JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,647
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kaka inabidi ufanye kazi ya ziada... Mi kwa haraka haraka naona kama huyo binti haku feel...!
   
 11. by default

  by default JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndetirima sijataja jina kwa kudhalilisha kabila mkuu.na isitoshe ni mwanamke ninaempenda mi mwenyew ni waukouko
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. by default

  by default JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nitajitahdi kumsumbua nione atakapolipuka atatoa nini moyoni mwake,uzuri nishapata mwanga kwa baadh ya comment.
   
 13. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,832
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  hakupendi huyo, acha kupoteza muda wako, kuwa bize na mambo mengine muda ukifika tafuta mwingine
   
 14. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nothing to fear you have an opportunity.
   
 15. D

  DCM Senior Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 164
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Sasa ukipeleka posa wakati yeye muhusika hujapata majibu yake huoni haina maana?La msingi ongea nae yeye na sio kwa msg ulitakiwa alivyokuja umtafute uongee nae face to face ujue uamuzi wake,utaumia sana kama atakataa baada ya wewe kupeleka posa.
   
 16. piper

  piper JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ninavyo mpenda huyu binti ata shamba nitauza nilipe mahari[/QUOTE]

  Je yeye ana hisia kama zako? maana upendo ni wa pande mbili, jihadhari kuingia kwenye uhusiano ambao hisia inatoka upande mmoja tu
   
 17. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Komaa tu,hata mi shemeji yenu alikuwa hanipendi hta kunckia,leo mwaka wa 9 sasa mke ndani,na anawivu huyo! Wadada wapo hvo, ukshakula k2 yake ataktafta mwenyewe.
   
 18. by default

  by default JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu kwao ni Atown nilimuomba aje dar akagoma holday yake ilikuwa fupi na kama angekuja angefikia homee kwe2 so sikuwez kumforce coz ata wadogo zangu awapo so ikawa ngumu,mimi kwend nilshdwa mambo ya ajira.
   
 19. by default

  by default JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu Mbofu nimekupata nitakomaa akuna kinachoshndkana juu ya ardhi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hujui kusoma hata picha huwezi kuangalia. Mabint wa KIIRAQ utulivu 0. Akunyimae kunde kakupunguzia .....
   
Loading...