Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Joined
Nov 5, 2014
Posts
43
Reaction score
5
Ni takribani miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked.

Ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo, nifanye nini kwa hali kama hii?
 

Dada binamu nyama ya hamu.
 
upuuzi mtupu... Nenda kwambie baba akupe ushauri.
 
Umesema ni mtoto wa shangazi sijui dini gani lakini kama Islam unaweza kumuoa sasa baada ya kuonja onja bora umuoe kama dini ina ruhusu,la sivyo basi tafuta wengine huyo nimdowako...........mlinde kwa macho yako yote......
 

Kwahiyo unataka watu wakushauri Zinaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…