Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
pole mkuu kwanza nakushauli uende mahakama ya mwanzo uombe amri ya kutengana kwa muda flan na mkeo, endapo hata badilika basi sasa kazia hukumu kwa kumtema mazima kimahakama hivohivo. wanawake pumbavu sana hasa wa kutokea tanga
Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
migogoro ni sehemu ya maisha.Hakuna kitu kibaya kama talaka mkuu,ebu delete hizo fikra kichwani mwako.Talaka hutoa taswira mbaya sana kwa werevu wa maana yake kama imaani inavyoeleza hilo.
Ukitoa talaka unajidharirisha wewe mwenyewe na mkeo kwa maana baada ya talaka kutakuwa na maneno yakienea kutoka kwako baada ya watu wa karibu kutaka kujua chanzo cha talaka na mkeo naye atakuwa akilizungumzia kupinga maneno yako na hapo ndipo mtakapojiacha UCHI na mkirejeana wao watakuwa wanacheka tu....
Mwisho::::wanaokushikia bango umuache mkeo ,utakuwa nao na watakufariji mchana tu lakini Usiku wao wamekumbatia wake zao pamoja na migogoro waliyonayo wanalala na kufurahia maisha.
usitoe talaka,hiki ni kipindi cha mpito kwako.
No trying time did stand forever for someone.
Hardship comes and goes,yours will go if you bear PATIENCE!!!