Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k

Hivi ni TARAKA au ni TALAKA.?
....
Back to the point. Nadhani waliikufundisha kuhusu ndoa wakaaahau kukupa maelekezo kuhusu hiyo ndio ungewafuata wakakuelekeza.
Andika.. "kuanzia sasa wewe shuwea bint Ahamad, nakuacha kwa talaka tatu, kuanzia sasa sio Mke wangu tena ".....mkabidhi mwanangu aende,. Kuna nini sasa! Maisha yenyewe haya!
Hivi ni TARAKA au ni TALAKA.?
....
Back to the point. Nadhani waliikufundisha kuhusu ndoa wakaaahau kukupa maelekezo kuhusu hiyo ndio ungewafuata wakakuelekeza.
Ni kweli. Lakini maana yangu ni kwamba waliomfundisha masuala ya ndoa wakaacha kumpa maelekezo ya TALAKA walikuwa na maana yao. Hawakutaka kumuelekeza nikiwa na imani kwamba ni sawa na kuihalalisha, hivyo ni vema akawafuata wao wampe maelekezo.
ushindwe ulegee kabisa, yani uongeze watoto mitaani na omba omba? Mungu alisema usiachane na mkeo au mmeo mpk kifo, wewe unataka kuacha muke? watoto wa mitaani wanatosha acha kbs