Namna ya kuwa high value man (Mwanaume wa thamani)

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,093
Reaction score
22,805
Habarini.

Huu ujumbe unalenga kuwajenga wanaume especially vijana wa umri mchanga kuanzia 15 years kuendelea lakini pia wanaume watu wazima ambao tayari wameshavuka uchanga na wapo kwenye umri wa kuitwa mabro au wanaingia kuwa watu wazima that is 35 kwenda juu not across 50 years of age limit.

Pia ujumbe huu ni kwaajiri ya mabinti na wanawake kuweza kuwasadia kutambua tofauti ya mwanaume imara na mwanaume wa kawaida katika harakati za kutafuta mwanaume wa kufanya nae maisha au kuwashauri wenzao katika zile kamati zao za fitina. Lakini muhimu zaidi ni kuwasaidia katika malezi wanapolea mtoto au watoto kuweza kuwajenga kutambua hizi value ili walee watoto wa kiume imara na wa kike watakaoweza kutambua na kusubmit kwa wanaume hawa bora ili kujenga familia na jamii bora ya kitanzania na ya kiafrica.

'High value man' au kwa kiswahili, Mwanaume wa thamani au Mume mwema kama wadada wa kiroho hupenda kuwaita ni aina ya mwanaume ambaye kuishi kwa misingi na principal imara za kiume ambazo humuwezesha kuonyesha uimara na faida ya jinsia ya kiume.

Kwa maneno mengine ni kwamba ni aina ya mwanaume ambaye toleo lake la kiume ni la kipekee katika uanaume wake,umadhubuti wake, uchangamfu wake,ushawishi, anaependwa na wanawake na mfano wa kuigwa na wanaume wenzie na mwenye uwezo wa kuzibadilisha changamoto na matatizo ya kimaisha kuwa story nzuri ya kuvutia ya mapambano na mafanikio kwa wengine badala ya story ya huzuni,majuto, maumivu,kukata tamaa na kushindwa bila kufanikiwa.

Kuna namna nyingi za kumuelezea mwanaume wa thamani lakini namna zote zitamhusisha na mafanikio yake binafsi na wengine wanaomzunguka. Watu wengi huhusisha High value man na pesa,si kweli ikawa mafanikio ya kipesa ni moja ya sifa za high value man ila si sifa kuu.

Zifuatazo ni sifa muhimu ambazo huweza kumtambulisha HIGH VALUE MAN (MWANAUME WA THAMANI) au mume mwema kama vile mwamposa's disciples huwaita. Naomba nizitaje kama ifauatavyo:

1. HEKIMA YA KUJITAMBUA: High value man ni mwanaume ambaye hujitambua mahitaji yake ya kimsingi na kujua wanaomzunguka wanahitaji nini kupitia yeye. Anatambua anataka nini katika maisha yake bila kuiga au kucopy au kuambiwa na mtu mwingine yoyote. Hii huhitaji hekima ya hali ya juu sana na kutokutetereka kwa namna yoyote.

2. KUJIAMINI (CONFIDENCE): Hapa naomba tuweze kutofautisha kati ya ujasiri (courage) na kujiamini (confidence) bila kuchanganya maana. Confidence ni kufahamu unachofanya wakati courage ni kujipa moyo kufanya jambo ile hali ukiwa hauna ufahamu nalo. Eg. Mwanafunzi aliyepata pepa la NECTA siku moja kabla ya mtihani,akiingia siku ya mtihani akakuta pepa ni lenyewe huyo atafanya mtihani na kuwa na confidence na matokeo ila anayejisomea na akaingia kwenye mtihani akajaribu baadhi atakuwa na courage ya kufaulu huo mtihani ila hadi atakapoona matokeo na marking scheme.

3. KUJIJALI: ukijipenda utapendwa. Hapa nazungumzia kula chakula kizuri,kuwa msafi wa mwili,kunyoa vizuri,kuishi sehemu nzuri hata kama ni chumba cha 50,000 basi pawe na hadhi nzuri,kuvaa nguo safi na nzuri. Kunukia manukato mazuri kama utaweza kutoboka mfuko wako kununua perfume ya bei itakuwa vema zaidi. Swala muhimu zaidi katika kujijali ni afya ambayo huhitaji umakini katika ulaji, mazoezi ya mwili na kukaa mbali na maswala ya anasa za kingono.

4. KUWA HONEST NA MUWAZI: uwazi na kuwa mkweli ni viungo vizuri sana kwa mtu anayetaka kuishi maisha ya Amani na utulivu bila stress wala complications. Si kwamba kila sehemu au kwa kila mtu utakuwa muwazi lahasha ila ni vema ukatambua umuhimu kuwa muwazi na mkweli kwa wale ambao wanakukubali na kukuamini ila sio wale ambao wapo kinyume na wewe. Hapa tunahusisha kutojiingiza katika mitikasi au shughuli zitakazotaka mtu kuwa fraudulent au mjanja mjanja mwizi mwizi.

5. MTIMIZA AHADI: inafahamika namna mtu anaetimiza ahadi iwe kubwa au ndogo anajitengenezea uaminifu na heshima. Hii sifa inaungana na ile ya ukweli na uwazi. Ukiwa unajitambua, ukiwa unajiamini, unajijali, halafu ukawa mtu very honest utakuwa na kazi ndogo kuweza kuweka ahadi za ukweli na kuzitimiza kwa wakati ndani ya malengo yako.

6. UWEZO WA KUWASILIANA NA WENGINE: Ni vema kujua kuwa mawasiliano mazuri hujenga mahusiano mazuri. High value man hutambuliwa hubeba hii sifa kwa kujua namna nzuri za kuwasiliana na wengine kwa wakati bila kuharibu mahusiano. Lugha nzuri isiyokera inayofikisha ujumbe bila utata, matumizi ya maneno ya kueleweka, ujumbe mzito na wenye maana na kadhalika. Hapa tunazingatia swala la kuwa intelligent kwenye hisia za wengine.

7. KUWA NA SABABU YA KUISHI. Mwanaume wa thamani haamki asubuhi akajiuliza leo naenda wapi kufanya nini sababu siku yake hupangwa usiku kabla ya kulala akiamka asubuhi ni straight kuelekea utekelezaji wa tafakari ya jana usiku. Hii huenda sambamba na sala fupi na ndefu kuomba usimamizi wa malaika wa MUNGU jambo analokwenda kufanya liwe na manufaa kwake na kwa wengine wanaomtegemea. Hapa tunaongelea Clear purpose kwenye maisha.

8. KUJITEGEMEA: Ukitaka thamani yako iongezeke katika jamii jenga tabia ya kusimama mwenyewe na Mambo yako. Hii itakujengea heshima kwa watu wanaokuzunguka kiasi kwamba wao ndio watakufuata na wapate msaada kwako. Hata mtu ukimpigia simu kuwa unataka kuonana nae anakuwa na amani kupokea simu yako. Ila unapokuwa tegemezi unaweza hata usipokelewe simu na heshima yako itakuwa mashakani sababu huko pembeni watu watakuzungumzia kwa ile taswira ya mtu dhaifu ambaye hauwezi tegemewa.

9. MLENGO WA MAISHA SI WANAWAKE: Katika hoja ya high value man, watu wengi huhusisha na wanawake moja kwa moja kumaanisha kuwa mwanaume anatakiwa kuimprove maisha yake na kuwa na hizi sifa ili kuwa catch kwa wanawake na warembo, hiyo ni Falacy au upotofu. Katika Sifa ya purpose pale ndipo ukweli ulipo. Mwanaume imara huwa anakuwa na purpose yake kimaisha ambayo haitabadilishwa na mtu yoyote ila yeye mwenyewe. Mwanamke ni kiungo muhimu sana katika maisha ya mwanaume ila si kitu cha kwanza, kama unabisha waulize wanaume waliogeuza wake zao kuwa ndio sababu ya uhai wao. So kuwa makini na upotofu huu. Mwanaume amtumainiae mwanamke katika maisha yake tayari ameshapoteza hatima yake ya baadae.

10. KUWA KIONGOZI: thamani ya mwanaume imejificha katika eneo la uongozi. Hapa kuna umuhimu sana. Sababu moja itayofanya jamii ikutambue na kukupa heshima ni namna gani wewe kama baba wa familia unaongoza familia ya mkeo na watoto, au mchumba wako unamuongoza vipi kuwa imara, namna gani unatoa kauli suluhu, namna gani neno lako la ushauri au muongozo linabadili maisha ya mwingine na wengine. Siri ipo katika uongozi.

11. INTELLIGENT: naomba nisisitize hapa ni intelligent sio Smart. Smart ni sifa ya anayejifunza na kushika mafunzo, intelligent ni sifa ya anayedadavua mambo kwa akili yake na kuja na wazo la tofauti la kufanya jambo nje ya uwezo au utambuzi wa kawaida na kuleta matokeo mazuri na ya kustaajabisha. Eg . Michael alikuwa intelligent artist ndio maana hadi leo hakuna anayemfikia kwa rekodi zake za kimatukio.

12. UCHAPA KAZI.
Hapa tunazungumzia kutumia akili na sio nguvu za mwili kufanya mambo ya kimaisha. Zamani mwanaume mchapa kazi kwa kutumia nguvu ndie aliyekuwa anaonekana jemedari, ndio maana kuna routine za kuamka asubuhi na kuhangaika siku nzima hata kama utapata hasara ila mradi ulitumia nguvu tu. Mambo yamebadilika, sasa hivi kwa kutumia technology unaweza kupata matokeo ya miaka 10 ndani ya mwaka 1 au 2 tu ni swala la ku apply intelligence na kufanya Smart working.

13. KUWA NA FIKRA CHANYA: Thamani ya akili ni inapokuwa positive na kinyume chake ni hasara tupu kwa mwenye kichwa chake. Imagine maisha ya kuamini au kulitazama kila jambo katika kufeli kwake then ukajiaminisha ndio uhalisia. Hakuna kitu utafanya, kuanzia mahusiano, urafiki, udugu, biashara, na chochote kile utakuwa mtu wa kuharibu kwako na kwa wengine. So positivity ndio akili inayobebwa na mwanaume wa thamani.

14. KUJIHESHIMU NA KUHESHIMU WENGINE: Tafsiri ya neno heshima ni kutambua mipaka yako na ya wengine then kujidhibiti kuivuka. Mfano kutochunga lugha ya kuongea, kuropoka,kusema wengine nyuma ya pazia, kutongoza mke wa mtu, kutumia kitu cha mtu bila ridhaa, kuongelea mambo ya mtu bila ruhusa yake, kufiatilia mambo ya mtu bila ridhaa yake etc. Hizi zote ni tabia za kukosa heshima. Mwanaume wa thamani hizi si sifa zake.

Naomba kwa uchache niishie hapa kwa leo ila nitaendelea kuedit na kuziongeza kadilia muda nitakaokuwa nikiupata.
 
Ukiishi katika principle hizo kila jambo utafanikisha kwa urahisi haijalishi muda gan itachukua..ni kweli maisha ya mwanaume anahitaji zaidi pesa.
KWA DUNIA YA SASA HIVI MWANAUME ANAEJITAMBUA NI YULE MWENYE PESA, KAMA HUNA UTAONEKANA KITUKO TU
 
Unaweza kuwa na pesa lakini usiwe mwanaume wa thamani. Chunguza utaona hii kitu. Kuna watu wanapesa sana ila wapo depressed na wanaonekana ni low value mbele ya wenye kipato cha kawaida sababu ya kukosa sifa za msingi.
 
The way of masculine man.

Kwanza hata wanawake wanaji submit kwa a masculine man always.
Point tupu umeongea. Tatizo sisi vijana wa sahivi tunafanya kila kitu kuplease chupi. Afu mwisho wa siku zinatiharibia kabisa.
True jambo muhimu ni kujitambua kwanza na kuwa na vipaumbele. Kutofanya mambo ili kufurahisha watu au kufanya mambo ili kuonekana na watu.
 
Unaweza kuwa na pesa lakini usiwe mwanaume wa thamani. Chunguza utaona hii kitu. Kuna watu wanapesa sana ila wapo depressed na wanaonekana ni low value mbele ya wenye kipato cha kawaida sababu ya kukosa sifa za msingi.
weeeee!!! Pesaaaaa!! Narudia tena....sijakosea pesaaaaa!!! Inanukia ile.....meneja wako mkubwaaa/wafadhiliwa miradi watakupigia magoti asa hao rafiki zao si ndo kabisa.....hata ukivaa ndala watajua unazuga tu.
 
Habarini.

Huu ujumbe unalenga kuwajenga wanaume especially vijana wa umri mchanga kuanzia 15 years kuendelea lakini pia wanaume watu wazima ambao tayari wameshavuka uchanga na wapo kwenye umri wa kuitwa mabro au wanaingia kuwa watu wazima that is 35 kwenda juu not across 50 years of age limit.

Pia ujumbe huu ni kwaajiri ya mabinti na wanawake kuweza kuwasadia kutambua tofauti ya mwanaume imara na mwanaume wa kawaida katika harakati za kutafuta mwanaume wa kufanya nae maisha au kuwashauri wenzao katika zile kamati zao za fitina. Lakini muhimu zaidi ni kuwasaidia katika malezi wanapolea mtoto au watoto kuweza kuwajenga kutambua hizi value ili walee watoto wa kiume imara na wa kike watakaoweza kutambua na kusubmit kwa wanaume hawa bora ili kujenga familia na jamii bora ya kitanzania na ya kiafrica.

'High value man' au kwa kiswahili, Mwanaume wa thamani au Mume mwema kama wadada wa kiroho hupenda kuwaita ni aina ya mwanaume ambaye kuishi kwa misingi na principal imara za kiume ambazo humuwezesha kuonyesha uimara na faida ya jinsia ya kiume.

Kwa maneno mengine ni kwamba ni aina ya mwanaume ambaye toleo lake la kiume ni la kipekee katika uanaume wake,umadhubuti wake, uchangamfu wake,ushawishi, anaependwa na wanawake na mfano wa kuigwa na wanaume wenzie na mwenye uwezo wa kuzibadilisha changamoto na matatizo ya kimaisha kuwa story nzuri ya kuvutia ya mapambano na mafanikio kwa wengine badala ya story ya huzuni,majuto, maumivu,kukata tamaa na kushindwa bila kufanikiwa.

Kuna namna nyingi za kumuelezea mwanaume wa thamani lakini namna zote zitamhusisha na mafanikio yake binafsi na wengine wanaomzunguka. Watu wengi huhusisha High value man na pesa,si kweli ikawa mafanikio ya kipesa ni moja ya sifa za high value man ila si sifa kuu.

Zifuatazo ni sifa muhimu ambazo huweza kumtambulisha HIGH VALUE MAN (MWANAUME WA THAMANI) au mume mwema kama vile mwamposa's disciples huwaita. Naomba nizitaje kama ifauatavyo:

1. HEKIMA YA KUJITAMBUA: High value man ni mwanaume ambaye hujitambua mahitaji yake ya kimsingi na kujua wanaomzunguka wanahitaji nini kupitia yeye. Anatambua anataka nini katika maisha yake bila kuiga au kucopy au kuambiwa na mtu mwingine yoyote. Hii huhitaji hekima ya hali ya juu sana na kutokutetereka kwa namna yoyote.

2. KUJIAMINI (CONFIDENCE): Hapa naomba tuweze kutofautisha kati ya ujasiri (courage) na kujiamini (confidence) bila kuchanganya maana. Confidence ni kufahamu unachofanya wakati courage ni kujipa moyo kufanya jambo ile hali ukiwa hauna ufahamu nalo. Eg. Mwanafunzi aliyepata pepa la NECTA siku moja kabla ya mtihani,akiingia siku ya mtihani akakuta pepa ni lenyewe huyo atafanya mtihani na kuwa na confidence na matokeo ila anayejisomea na akaingia kwenye mtihani akajaribu baadhi atakuwa na courage ya kufaulu huo mtihani ila hadi atakapoona matokeo na marking scheme.

3. KUJIJALI: ukijipenda utapendwa. Hapa nazungumzia kula chakula kizuri,kuwa msafi wa mwili,kunyoa vizuri,kuishi sehemu nzuri hata kama ni chumba cha 50,000 basi pawe na hadhi nzuri,kuvaa nguo safi na nzuri. Kunukia manukato mazuri kama utaweza kutoboka mfuko wako kununua perfume ya bei itakuwa vema zaidi. Swala muhimu zaidi katika kujijali ni afya ambayo huhitaji umakini katika ulaji, mazoezi ya mwili na kukaa mbali na maswala ya anasa za kingono.

4. KUWA HONEST NA MUWAZI: uwazi na kuwa mkweli ni viungo vizuri sana kwa mtu anayetaka kuishi maisha ya Amani na utulivu bila stress wala complications. Si kwamba kila sehemu au kwa kila mtu utakuwa muwazi lahasha ila ni vema ukatambua umuhimu kuwa muwazi na mkweli kwa wale ambao wanakukubali na kukuamini ila sio wale ambao wapo kinyume na wewe. Hapa tunahusisha kutojiingiza katika mitikasi au shughuli zitakazotaka mtu kuwa fraudulent au mjanja mjanja mwizi mwizi.

5. MTIMIZA AHADI: inafahamika namna mtu anaetimiza ahadi iwe kubwa au ndogo anajitengenezea uaminifu na heshima. Hii sifa inaungana na ile ya ukweli na uwazi. Ukiwa unajitambua, ukiwa unajiamini, unajijali, halafu ukawa mtu very honest utakuwa na kazi ndogo kuweza kuweka ahadi za ukweli na kuzitimiza kwa wakati ndani ya malengo yako.

6. UWEZO WA KUWASILIANA NA WENGINE: Ni vema kujua kuwa mawasiliano mazuri hujenga mahusiano mazuri. High value man hutambuliwa hubeba hii sifa kwa kujua namna nzuri za kuwasiliana na wengine kwa wakati bila kuharibu mahusiano. Lugha nzuri isiyokera inayofikisha ujumbe bila utata, matumizi ya maneno ya kueleweka, ujumbe mzito na wenye maana na kadhalika. Hapa tunazingatia swala la kuwa intelligent kwenye hisia za wengine.

7. KUWA NA SABABU YA KUISHI. Mwanaume wa thamani haamki asubuhi akajiuliza leo naenda wapi kufanya nini sababu siku yake hupangwa usiku kabla ya kulala akiamka asubuhi ni straight kuelekea utekelezaji wa tafakari ya jana usiku. Hii huenda sambamba na sala fupi na ndefu kuomba usimamizi wa malaika wa MUNGU jambo analokwenda kufanya liwe na manufaa kwake na kwa wengine wanaomtegemea. Hapa tunaongelea Clear purpose kwenye maisha.

8. KUJITEGEMEA: Ukitaka thamani yako iongezeke katika jamii jenga tabia ya kusimama mwenyewe na Mambo yako. Hii itakujengea heshima kwa watu wanaokuzunguka kiasi kwamba wao ndio watakufuata na wapate msaada kwako. Hata mtu ukimpigia simu kuwa unataka kuonana nae anakuwa na amani kupokea simu yako. Ila unapokuwa tegemezi unaweza hata usipokelewe simu na heshima yako itakuwa mashakani sababu huko pembeni watu watakuzungumzia kwa ile taswira ya mtu dhaifu ambaye hauwezi tegemewa.

9. MLENGO WA MAISHA SI WANAWAKE: Katika hoja ya high value man, watu wengi huhusisha na wanawake moja kwa moja kumaanisha kuwa mwanaume anatakiwa kuimprove maisha yake na kuwa na hizi sifa ili kuwa catch kwa wanawake na warembo, hiyo ni Falacy au upotofu. Katika Sifa ya purpose pale ndipo ukweli ulipo. Mwanaume imara huwa anakuwa na purpose yake kimaisha ambayo haitabadilishwa na mtu yoyote ila yeye mwenyewe. Mwanamke ni kiungo muhimu sana katika maisha ya mwanaume ila si kitu cha kwanza, kama unabisha waulize wanaume waliogeuza wake zao kuwa ndio sababu ya uhai wao. So kuwa makini na upotofu huu. Mwanaume amtumainiae mwanamke katika maisha yake tayari ameshapoteza hatima yake ya baadae.

10. KUWA KIONGOZI: thamani ya mwanaume imejificha katika eneo la uongozi. Hapa kuna umuhimu sana. Sababu moja itayofanya jamii ikutambue na kukupa heshima ni namna gani wewe kama baba wa familia unaongoza familia ya mkeo na watoto, au mchumba wako unamuongoza vipi kuwa imara, namna gani unatoa kauli suluhu, namna gani neno lako la ushauri au muongozo linabadili maisha ya mwingine na wengine. Siri ipo katika uongozi.

11. INTELLIGENT: naomba nisisitize hapa ni intelligent sio Smart. Smart ni sifa ya anayejifunza na kushika mafunzo, intelligent ni sifa ya anayedadavua mambo kwa akili yake na kuja na wazo la tofauti la kufanya jambo nje ya uwezo au utambuzi wa kawaida na kuleta matokeo mazuri na ya kustaajabisha. Eg . Michael alikuwa intelligent artist ndio maana hadi leo hakuna anayemfikia kwa rekodi zake za kimatukio.

12. UCHAPA KAZI. Hapa tunazungumzia kutumia akili na sio nguvu za mwili kufanya mambo ya kimaisha. Zamani mwanaume mchapa kazi kwa kutumia nguvu ndie aliyekuwa anaonekana jemedari, ndio maana kuna routine za kuamka asubuhi na kuhangaika siku nzima hata kama utapata hasara ila mradi ulitumia nguvu tu. Mambo yamebadilika, sasa hivi kwa kutumia technology unaweza kupata matokeo ya miaka 10 ndani ya mwaka 1 au 2 tu ni swala la ku apply intelligence na kufanya Smart working.

13. KUWA NA FIKRA CHANYA: Thamani ya akili ni inapokuwa positive na kinyume chake ni hasara tupu kwa mwenye kichwa chake. Imagine maisha ya kuamini au kulitazama kila jambo katika kufeli kwake then ukajiaminisha ndio uhalisia. Hakuna kitu utafanya, kuanzia mahusiano, urafiki, udugu, biashara, na chochote kile utakuwa mtu wa kuharibu kwako na kwa wengine. So positivity ndio akili inayobebwa na mwanaume wa thamani.

14. KUJIHESHIMU NA KUHESHIMU WENGINE: Tafsiri ya neno heshima ni kutambua mipaka yako na ya wengine then kujidhibiti kuivuka. Mfano kutochunga lugha ya kuongea, kuropoka,kusema wengine nyuma ya pazia, kutongoza mke wa mtu, kutumia kitu cha mtu bila ridhaa, kuongelea mambo ya mtu bila ruhusa yake, kufiatilia mambo ya mtu bila ridhaa yake etc. Hizi zote ni tabia za kukosa heshima. Mwanaume wa thamani hizi si sifa zake.

Naomba kwa uchache niishie hapa kwa leo ila nitaendelea kuedit na kuziongeza kadilia muda nitakaokuwa nikiupata.
Umesahau moja nguva za kiume,huwezi kuwa umekamilika bila kuwa na nguvu za kiume,kama mwanaume kweli jitahidi unapofikisha 25yrs uwe na mtoto
 
Imekaa vyema sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Most likely "High Value Man" exists only in text books, the movies and in people's imaginations, meaning: the "High Value Man" you've described is just a fantasy. Mimi ni "Superb Value Man" kwa familia yangu in my own way, bila ya kuhangaika kumu impress mtu yoyote.
 
I just want my kids to be Intelligent, confident and wealthy...... Vingine atapatiamo humu humu.
 
Back
Top Bottom