BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Asante, naweza kutuma kupitia world remit kuingia kwenye akaunti ya benki ya mtu directly? na world remit ipo available kwetu kweli?World remit.
Unaweza kabisa na ni rahisi sana, ipo Tanzania yesAsante, naweza kutuma kupitia world remit kuingia kwenye akaunti ya benki ya mtu directly? na world remit ipo available kwetu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Almosay bank zote unaweza kulink na paypal as long as zinatoa visa au master cardHabari.
Kuna namna nyingine ya kutuma pesa nje ya nchi ukiondoa western union au money gram?
Je benki gani nzuri ambayo haina usumbufu katika kutuma fedha nje ya nchi yaani bank to bank, na ambayo unaweza ku link na paypal.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba muongozo hapa pia na kwa faida ya wengineUnaweza kabisa na ni rahisi sana, ipo Tanzania yes
bank za kiswahili sio, ningependelea international banksAlmosay bank zote unaweza kulink na paypal as long as zinatoa visa au master card
FNB, Barclays, Standered Chatered
ila sisi tuko nyuma sana hata mambo ya kawaida haya ya online transfer na hata kama benki za kiswahili zinazo ila kuna mlolongo mrefu utadhani unaomba kazi CIA,World remit wamejipanga,hawana makato kama WU,MG na wengn
Sent from my iPhone using JamiiForums
1. Ingia www.worldremit.com
option ya nchi ni moja tu mkuu nayo ni KENYA. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]1. Ingia www.worldremit.com
2. Jisajili upate account yako, ni rahisi tu
3. Chagua nchi unayotaka kutuma hela
View attachment 1447087
4. Ukishachagua nchi unayotaka kutuma watakupa options either utume kwa Mobile money au Bank Transfer au Airtime top up au Cash pick up, chagua unayotaka kisha gonga continue
View attachment 1447089
5. Mengine yanajazika kirahisi tu endelea tu utaweza.
6. I hope unayo credit card au Debit card!
Kama Kenya mbona rahisi tu. Tena kama ni Kenya nakushaurii utume kwa mobile money yake, Mpesa. Ni rahisi na anapata fasta kuliko bankoption ya nchi ni moja tu mkuu nayo ni KENYA. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
elewa ndugu mimi sitaki kutuma nchi ya kenya, ni nchi ya ulaya ,sasa kenya hapo tu?Kama Kenya mbona rahisi tu. Tena kama ni Kenya nakushaurii utume kwa mobile money yake, Mpesa. Ni rahisi na anapata fasta kuliko bank
We husaidiki wewe nishakuona. Haya mtumie huyo ndugu yako kwa njia ya posta basi.elewa ndugu mimi sitaki kutuma nchi ya kenya, ni nchi ya ulaya ,sasa kenya hapo tu?
nilikua namanisha kua unajiunga world remit halafu kumbe una weza kutuma nchi moja tu ambayo ni kenya in which ni upuuzi , kwanini waweke nchi moja tu, kama sio upuuzi ni nini nimeshangaa, world remit haina kazi kwetu hapa tanzania, kwa nchi zingine sawa mana kwa wenzetu unakua na option ya nchi nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio hueleweki, yani unamdanganya mtu mzima? ukijiunga hadi mwisho na ukaenda sehemu ya kuchagua nchi ya kutuma ipo nchi ya kenya tu, nendeni muwadanye makanjanja kwamba world remit is of best use in tanzania, ni upuuzi.We husaidiki wewe nishakuona. Haya mtumie huyo ndugu yako kwa njia ya posta basi.
Aliyekwambia unaweza kutuma nchi moja tu ya Kenya nani?
and i will opt for international banks, hio world remit ni upuuzi tu mana haina maana kama ni nchi moja tu unapewa kutuma hela hukoWe husaidiki wewe nishakuona. Haya mtumie huyo ndugu yako kwa njia ya posta basi.
Aliyekwambia unaweza kutuma nchi moja tu ya Kenya nani?
Hiyo ni nchi moja?wewe ndio hueleweki, yani unamdanganya mtu mzima? ukijiunga hadi mwisho na ukaenda sehemu ya kuchagua nchi ya kutuma ipo nchi ya kenya tu, nendeni muwadanye makanjanja kwamba world remit is of best use in tanzania, ni upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app