Namna ya kutuma pesa nje ya nchi

Namna ya kutuma pesa nje ya nchi

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,341
Habari.

Kuna namna nyingine ya kutuma pesa nje ya nchi ukiondoa western union au money gram?

Je benki gani nzuri ambayo haina usumbufu katika kutuma fedha nje ya nchi yaani bank to bank, na ambayo unaweza ku link na paypal.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Almosay bank zote unaweza kulink na paypal as long as zinatoa visa au master card
 
World remit wamejipanga,hawana makato kama WU,MG na wengn

Sent from my iPhone using JamiiForums
ila sisi tuko nyuma sana hata mambo ya kawaida haya ya online transfer na hata kama benki za kiswahili zinazo ila kuna mlolongo mrefu utadhani unaomba kazi CIA,

hapa naona uki sign up , ukijaribu ku choose nchi ya kutuma, kwamba ipo kenya tu, insane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba muongozo hapa pia na kwa faida ya wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Ingia www.worldremit.com
2. Jisajili upate account yako, ni rahisi tu
3. Chagua nchi unayotaka kutuma hela
wr1.PNG

4. Ukishachagua nchi unayotaka kutuma watakupa options either utume kwa Mobile money au Bank Transfer au Airtime top up au Cash pick up, chagua unayotaka kisha gonga continue
wr2.PNG

5. Mengine yanajazika kirahisi tu endelea tu utaweza.
6. I hope unayo credit card au Debit card!
 
1. Ingia www.worldremit.com
2. Jisajili upate account yako, ni rahisi tu
3. Chagua nchi unayotaka kutuma hela
View attachment 1447087

4. Ukishachagua nchi unayotaka kutuma watakupa options either utume kwa Mobile money au Bank Transfer au Airtime top up au Cash pick up, chagua unayotaka kisha gonga continue
View attachment 1447089

5. Mengine yanajazika kirahisi tu endelea tu utaweza.
6. I hope unayo credit card au Debit card!
option ya nchi ni moja tu mkuu nayo ni KENYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kenya mbona rahisi tu. Tena kama ni Kenya nakushaurii utume kwa mobile money yake, Mpesa. Ni rahisi na anapata fasta kuliko bank
elewa ndugu mimi sitaki kutuma nchi ya kenya, ni nchi ya ulaya ,sasa kenya hapo tu?
nilikua namanisha kua unajiunga world remit halafu kumbe una weza kutuma nchi moja tu ambayo ni kenya in which ni upuuzi , kwanini waweke nchi moja tu, kama sio upuuzi ni nini nimeshangaa, world remit haina kazi kwetu hapa tanzania, kwa nchi zingine sawa mana kwa wenzetu unakua na option ya nchi nyingi

We husaidiki wewe nishakuona. Haya mtumie huyo ndugu yako kwa njia ya posta basi.

Aliyekwambia unaweza kutuma nchi moja tu ya Kenya nani?
 
wewe ndio hueleweki, yani unamdanganya mtu mzima? ukijiunga hadi mwisho na ukaenda sehemu ya kuchagua nchi ya kutuma ipo nchi ya kenya tu, nendeni muwadanye makanjanja kwamba world remit is of best use in tanzania, ni upuuzi.

and i will opt for international banks, hio world remit ni upuuzi tu mana haina maana kama ni nchi moja tu unapewa kutuma hela huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio hueleweki, yani unamdanganya mtu mzima? ukijiunga hadi mwisho na ukaenda sehemu ya kuchagua nchi ya kutuma ipo nchi ya kenya tu, nendeni muwadanye makanjanja kwamba world remit is of best use in tanzania, ni upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nchi moja?

Nimedanganya wapi?

Kama hamuwezi kutumia mitandao ombeni msaada
Screenshot_2020-05-11-19-47-47-153_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2020-05-11-19-47-51-875_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2020-05-11-19-48-02-660_com.android.chrome.jpg

Nchi zote duniani zipo, nilipodanganya ni wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom