Baada ya hapo fungua hilo group unalotaka kutengeneza link.
Kisha angalia juu mkono wa kulia kuna alama inayoonesha uongeze mtu(add)
Bonyeza hyo alama,utaona majina ya whatsap yako yametokea kwa chini,na hapo juu utaona neno(invite to group via link)
Bonyeza hapo,kisha utapata option ya ku share hyo link. Basi utashare sehem unayotaka(kama ni whatsapp ama sehem ingine yoyote) tayal utakuwa ushatengeneza link ya group la whatsapp
Ok tuendeleee
Ingia kwenye group kisha bofya alama ya kuadd participant kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini
Halaf bofya invite to group via link
Then chagua njia yoyote unayotaka kutuma hiyo link