utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,511
wakuu nahitaji njia za kupitia kujifunza namna ya kutengeneza banners brochures na posters mana ofisin kwangu kuna printers na mwenyew namiliki laptop pia kuna desktop za ofisin sasa huwa napenda kujua vingi katika maisha yangu nikaona hili lisinipite
pia nahitajika kuwa na programme ipi kati ya hizi adobe photoshop, Microsoft Excel, Microsoft Word au ipi yoyote
pia nahitajika kuwa na programme ipi kati ya hizi adobe photoshop, Microsoft Excel, Microsoft Word au ipi yoyote