Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,236
Mkuu cjakupata vzuri apo kua wanatumia sana kiingereza kivip ani ndo inawapelekea kua ivo wataalam? Na vipi kuhusu lugha yao ambayo ni kihindi kaka?
mfano sisi Tanzania tunatumia kingereza sana internet na hata website zetu ni za kingereza hivyo ni rahisi kukutana na website za wahindi sababu nao wanatumia kingereza. nimemaanisha hivyo.Mkuu cjakupata vzuri apo kua wanatumia sana kiingereza kivip ani ndo inawapelekea kua ivo wataalam? Na vipi kuhusu lugha yao ambayo ni kihindi kaka?
yah mkuu unachosema ni kweli ilikua inawezekana kitu kama hicho hapa bongo na bado inawezekana but 50mb per dayJamani wa Tz tunashindwa nini, maana nimepitapita katika blog nying za waind wanaonyesha mins wanavyotumia freebasics.com app kupeluz website mbalimbali kwa kuihack na kuchange proxy and VPN, xaxa kama kunamwenye ujuz huo humu jf aulete maana mm nataka kufungua google freely kwa kutumia fee basics
Anayejua
Help
Pleaz
Mkuu hapo nmekuelewa sasa..mfano sisi Tanzania tunatumia kingereza sana internet na hata website zetu ni za kingereza hivyo ni rahisi kukutana na website za wahindi sababu nao wanatumia kingereza. nimemaanisha hivyo.
India ina state nyingi sana wanaoongea kihindi ni watu wa kaskazini tu, ukienda state za tamil unakuta watu wanaongea kitamil hawajui kihindi, kuna kannada telegu etc angalia hii ramani.
hivyo ukitumia kingereza india ni rahisi website yako kusomwa na nchi nzima kuliko kutumia kihindi.
onyesha mautundu hayoyah mkuu unachosema ni kweli ilikua inawezekana kitu kama hicho hapa bongo na bado inawezekana but 50mb per day
siku za mwanzo wakati freebasics iko unlimited data per day ulikua unaweza kuongeza port tu na unaweza kupata unlimited internet data full kudownload,usurf ,streaming nk
dah ila kwa sasa mb 50 per day surfing,downloading,streaming
UJE INBOXonyesha mautundu hayo
wewe mnyalukolo hii ni lugha gani!?eka link
43 Samsung J5100 Picture Problemwewe mnyalukolo hii ni lugha gani!?
Hivi huko shule huwa mnaenda kujifunza ujinga!?
Mm natumia internet ya VPN jamaa kaniungia kwenye simu na PC sh. Elfu 20 now bi zaid ya miezi miwili nimerumia GB 321 kwenye pc na spid ipo bomba sana. Nakula hadi mb 5 kwa sekunde kwa kupitia line ya voda 4g.
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariMm natumia internet ya VPN jamaa kaniungia kwenye simu na PC sh. Elfu 20 now bi zaid ya miezi miwili nimerumia GB 321 kwenye pc na spid ipo bomba sana. Nakula hadi mb 5 kwa sekunde kwa kupitia line ya voda 4g.
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza kushare na mimi? naweza kukusaidia kui perfectKuna tricks kadhaa nmezitest myself na nikakuta zinapga job but zina slow speed kichizi it's just about browsing on Google but not downloading na kuna moja naisi inahitaji a web working proxy ili iwe vizuri....
Yeah naweza..unaweza kushare na mimi? naweza kukusaidia kui perfect
nasubiria pmYeah naweza..
nasubiria.[/QUOTEHapa hapa?
Tayari... Nshakucheck
Tatizo ukifanya payload ya free host error ya 301 inakuhusu,,, nadhan isp washa blacklist free hosts zao kua payloaded na hiyo tunnel app,,, cjui kama kwako unafanikiwa!?