Ndio naitumia apa asaiv na kila mara kuperuzi JF km sina bando.... www.freebasics.comHii website ya Www.freebasics.com
Inakupa access ya kufungua baadhi ya sites kama jf,bbc swahili,shuledirect n.k
Ni kwa baadhi ya mitandao kama vile voda,tigo,airtel n.k
Pia ni kwa baadhi ya browser za simu tu kama vile operamini,dolphin,chrome n.k
Isee nimeona Jana kuna post ilikuwa inafundishwa kwenye from moja huko dark sasa naogopa kusambaza link za website za.ONION maana wakati najiunga kwenye Sera privacy & policy kuwa serikali inafuatilia sana mitandao hiyo so kwenye kushare tuwe makin kingine ni mpaka uwe na torvpn and torbrowserumeona wapi? h
njia hio hio kama site ni moja itafanya kazi na huku. eka link ya ushahidi.
kitu cha india ukipost kwenye forum ya kiswahili nani anafuatilia? asilimia 99 inakuwa ni mikwara tu ya watu wenye website.Isee nimeona Jana kuna post ilikuwa inafundishwa kwenye from moja huko dark sasa naogopa kusambaza link za website za.ONION maana wakati najiunga kwenye Sera privacy & policy kuwa serikali inafuatilia sana mitandao hiyo so kwenye kushare tuwe makin kingine ni mpaka uwe na torvpn and torbrowser
Sasa kaka kama walivosema it work in india ko unataka kusema na huku bongo inaezekana? Hawa wahindi wanajifanya wanajua sana kuhack ma isp wao utafikiri io mitandao yao ya tata docomo, aircel, airtel, idea na mingne haina ma IT makanjanja kama wao...Haipo kwa kiswahili IPO kwa kiRasiSimba
Na wanasema it work i ndia kwa wanayoelekeza
Hats kama kuna wana IT but hacker ni Cracker so hii ni changamoto ambayo inatokana na kuwa na wasomi wengi,wasiokuwa na ajilaSasa kaka kama walivosema it work in india ko unataka kusema na huku bongo inaezekana? Hawa wahindi wanajifanya wanajua sana kuhack ma isp wao utafikiri io mitandao yao ya tata docomo, aircel, airtel, idea na mingne haina ma IT makanjanja kama wao...
sio wanajifanya, ni kwamba jamaa wanajua kweli na wapo wengi, watu zaidi ya bilioni sio mchezo kuna Tanzania zaidi ya 60 ndani ya India moja. na hizo trick zinafanya kazi kweli.Sasa kaka kama walivosema it work in india ko unataka kusema na huku bongo inaezekana? Hawa wahindi wanajifanya wanajua sana kuhack ma isp wao utafikiri io mitandao yao ya tata docomo, aircel, airtel, idea na mingne haina ma IT makanjanja kama wao...
ndio eka link sasa,Haipo kwa kiswahili IPO kwa kiRasiSimba
Na wanasema it work i ndia kwa wanayoelekeza
Daah! Hawa jamaa ani huwa wananishangaza sana kwakwel, hakuna wasichokiweza kwenye haya mambo ya IT hasa hasa mambo ya networks, ani ata most of their blogs & websites zinazungumzia hizo mambo tu za hacking & cracking na hakuna sijui posts za matukio tukio kama za huku bongo...sio wanajifanya, ni kwamba jamaa wanajua kweli na wapo wengi, watu zaidi ya bilioni sio mchezo kuna Tanzania zaidi ya 60 ndani ya India moja. na hizo trick zinafanya kazi kweli.
sababu India wanatumia sana kingereza thats why, ila nchi kama ufilipino kwa trick za internet wapo active zaidi ya india na pia nchi kama china mambo mengi ya IT wapo vizuri zaidi, na hata urusi na Indonesia nao hawapo nyuma. Tatizo lugha.Daah! Hawa jamaa ani huwa wananishangaza sana kwakwel, hakuna wasichokiweza kwenye haya mambo ya IT hasa hasa mambo ya networks, ani ata most of their blogs & websites zinazungumzia hizo mambo tu za hacking & cracking na hakuna sijui posts za matukio tukio kama za huku bongo...
Unakuta vijana wadogo wadogo tu wanajua ku code ile mbaya afu wana vi blogs wanapost tutorials za kuhack security systems na kutumia vizuri loopholes za watu kwa ajili ya kusimplfy maisha!!!....Daah hawa jamaa bana wanatisha aiseeh wanatumia vzuri ubongo zao....Hawa jamaa sijui Mungu aliwapa ubongo wa aina gani! Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri. Anaweza akakupigia code hadi ukashangaa.
Wapo vizuri sana.
Mkuu cjakupata vzuri apo kua wanatumia sana kiingereza kivip ani ndo inawapelekea kua ivo wataalam? Na vipi kuhusu lugha yao ambayo ni kihindi kaka?sababu India wanatumia sana kingereza thats why, ila nchi kama ufilipino kwa trick za internet wapo active zaidi ya india na pia nchi kama china mambo mengi ya IT wapo vizuri zaidi, na hata urusi na Indonesia nao hawapo nyuma. Tatizo lugha.