Zungweboy JF-Expert Member Joined Jun 10, 2018 Posts 363 Reaction score 178 Jul 5, 2018 #1 ndugu wana familia naomba msaada wa kurudisha email yangu chanzo cha email kugoma kufunguka ni baada ya namba niliotumia kuifungulia kupotea na kutowezekana kuirudisha email ni ya google nawasilisha kwenu msaada
ndugu wana familia naomba msaada wa kurudisha email yangu chanzo cha email kugoma kufunguka ni baada ya namba niliotumia kuifungulia kupotea na kutowezekana kuirudisha email ni ya google nawasilisha kwenu msaada
Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Jul 5, 2018 #2 Nilipata tabu sana kipindicho yahoo...hadi nikahamia gmail.. Anyway kama namba umepoteza je hukuweka email nyingine kwa ajili ya recovery...
Nilipata tabu sana kipindicho yahoo...hadi nikahamia gmail.. Anyway kama namba umepoteza je hukuweka email nyingine kwa ajili ya recovery...
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Jul 5, 2018 #3 wanakuja
Zungweboy JF-Expert Member Joined Jun 10, 2018 Posts 363 Reaction score 178 Jul 5, 2018 Thread starter #4 Aaron said: Nilipata tabu sana kipindicho yahoo...hadi nikahamia gmail.. Anyway kama namba umepoteza je hukuweka email nyingine kwa ajili ya recovery... Click to expand... sikuweka mkuu vip kunauwezekano wa kuirudisha mkuu?
Aaron said: Nilipata tabu sana kipindicho yahoo...hadi nikahamia gmail.. Anyway kama namba umepoteza je hukuweka email nyingine kwa ajili ya recovery... Click to expand... sikuweka mkuu vip kunauwezekano wa kuirudisha mkuu?