mkuu leo umetumia mzigo wa chuga au ule wa tarime aiseee maana sio kwa ubichi huo wa bangeHii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea...
Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k
Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto kuwa wakwako ni ndogo sana...
Au kama umeseti face yako wewe, wakati unataka kutoa screen lock yako mchukue mtoto weka simu mbele yake, isiporecognise dah uwezekano wakuwa umepigwa ni mkubwa.
Ikikubali jua 99% dogo ni damu yako.
Tahadhari: Zoezi hili ukilifanya kizembe linaweza kuleta mgogoro katika familia.
Kuwa Makini.
Uwe na muda mzuri.
Uran
Wamemchomea.
Sasa,weka ya ng'ombe mwenyewe, ambaye ukimuangalia kwenye kioo utamuona.mm nmejarb kuweka ya ndama ika unlock[emoji22]
Mbona miguu siioni
Ndio nini?
Wamemchomea.
Kuna mengine unaona tu.Ulikuwa wapi weye?Nikakosa wa kumtania.Sawa expati wa hayo..π π π ππ½ββοΈ
Before you ignore this, mkuu inafanya kazi hii na siyo kwa mtoto wa kiume tu course binti yangu alikuwa ananiuliza why akiface simu inafunguka, sikuwa nimemuelewa mpaka pale nilipo jaribu kuscan jicho ndipo nilipogundua vinasaba vinashabihiana.mkuu leo umetumia mzigo wa chuga au ule wa tarime aiseee maana sio kwa ubichi huo wa bange