weka mwaya nmepika kaja rafiki yangu kabeba na kubeba teh af imeisha.Pika mpenzi wee...uje uniambie imekua tamuje?
Next time ntakuekea iranian rice.
weka mwaya nmepika kaja rafiki yangu kabeba na kubeba teh af imeisha.
weka bana. me chapati napenda ila zinatoka pembe saba! zinakuwa lain sema ndo hayoo mapembe sasa! naishiaga kununua zile tayari nakuja kukaanga tu! lol

Thanks dia il do that. zile siyo basi tu tamaa na uvivu. ila kama ni mimi tuu huwa napikaga mapembe yangu!!Ili kuepuka mapembe chukua kontena la round ama bakuli ya plastic utumie kukata. Ukishasukuma mshazari wako unaweka juu yake bakuli unakata around. Sekunde chache tu unapata chapati za hataree! Zile za tayari mbona hopless kabisa?!
Ili kuepuka mapembe chukua kontena la round ama bakuli ya plastic utumie kukata. Ukishasukuma mshazari wako unaweka juu yake bakuli unakata around. Sekunde chache tu unapata chapati za hataree! Zile za tayari mbona hopless kabisa?!
farkhina, mie bila kukaanga nyama iwe dark sijaenjoy pilau. Utamu wa pilau kwenye nyama iliyokolea viungo. Basi wakati natia thomu, natia na nyama bila mchuzi. Nakaaanga kwanza weeeh, then natia supu kidogo tu na kuifunika. Inakolea rangi. Supu ikikaukia natia mchele, nao naukaanga kiasi. Then natia supu ama maji ya moto kiasi cha kufunika tu mchele. Namalizia kama wewe.
Hebu jaribu uniambie utamu wake ukoje?
Hahahahahahaa shosti weee mkalii...kama anatengeza vileja vya round lol
thanx dia il do that. zile siyo basi tu tamaa na uvivu. ila kama ni mimi tuu huwa napikaga mapembe yangu!!
thanx dia il do that. zile siyo basi tu tamaa na uvivu. ila kama ni mimi tuu huwa napikaga mapembe yangu!!
farkhina, mie bila kukaanga nyama iwe dark sijaenjoy pilau. Utamu wa pilau kwenye nyama iliyokolea viungo. Basi wakati natia thomu, natia na nyama bila mchuzi. Nakaaanga kwanza weeeh, then natia supu kidogo tu na kuifunika. Inakolea rangi. Supu ikikaukia natia mchele, nao naukaanga kiasi. Then natia supu ama maji ya moto kiasi cha kufunika tu mchele. Namalizia kama wewe.
Hebu jaribu uniambie utamu wake ukoje?
swadaktaaa bibie.
Mie napika hivi nakaanga vitunguu maji,kisha vikiwa brown naweka nyama nliyoisha naweka na swaumu na ndimu kisha nafunika.nyama ikishaiva na kukauka maji naikaaanga haswa ikaangike kisha viungo vya pilau visivyosagwa navikaanga pembeni kwenye kisufuria chake namwagia maji kidogo kisha naweka kwa nyama nakaaanga kwa pamoja mambo yakijipa naweka mchele na maji,viazi na zabibu baada ya mda nafunikia na moto juu[raha ya wali/pilau ufunikiwe juu na moto ] mama wee pilau lake tamu balaaa afu viungo wengi wanajaza matokeo yake pilau linatoka jeusiiiiiii.Raha ya pilau iwe na rangi fulani hivi si jeusiiii
farkhina, mie bila kukaanga nyama iwe dark sijaenjoy pilau. Utamu wa pilau kwenye nyama iliyokolea viungo. Basi wakati natia thomu, natia na nyama bila mchuzi. Nakaaanga kwanza weeeh, then natia supu kidogo tu na kuifunika. Inakolea rangi. Supu ikikaukia natia mchele, nao naukaanga kiasi. Then natia supu ama maji ya moto kiasi cha kufunika tu mchele. Namalizia kama wewe.
Hebu jaribu uniambie utamu wake ukoje?
Umewahi kuchanganya na njegere ama mahindi? Inapendeza zaidi...unatia hiyo mixed vegetables wakati unapamimina mchele.