A love Member Joined May 17, 2021 Posts 93 Reaction score 119 Jul 24, 2021 #1 Wana JF, najua kuna watu wengi tuu wanaopiga pesa kupitia online media, especial katika content writing, tupeni michongo na sie tujikwamue pamoja
Wana JF, najua kuna watu wengi tuu wanaopiga pesa kupitia online media, especial katika content writing, tupeni michongo na sie tujikwamue pamoja
Star onair Senior Member Joined May 31, 2020 Posts 144 Reaction score 145 Jul 25, 2021 #2 mkuu Karibu Sana kwenye kitengo hiki "Content creator" jaribu kujiunga na freelancing site then ujitangaze kule utapata tu wadau wanaohitaji. Pia Tengeneza hata page yakwako mwenyewe na uwe unapost ili ukipata deals ni simple kufanya reference kupitia Kazi zako mwenyewe
mkuu Karibu Sana kwenye kitengo hiki "Content creator" jaribu kujiunga na freelancing site then ujitangaze kule utapata tu wadau wanaohitaji. Pia Tengeneza hata page yakwako mwenyewe na uwe unapost ili ukipata deals ni simple kufanya reference kupitia Kazi zako mwenyewe
Quavohucho JF-Expert Member Joined Aug 30, 2020 Posts 1,041 Reaction score 2,463 Jul 25, 2021 #3 Star onair said: mkuu Karibu Sana kwenye kitengo hiki "Content creator" jaribu kujiunga na freelancing site then ujitangaze kule utapata tu wadau wanaohitaji. Pia Tengeneza hata page yakwako mwenyewe na uwe unapost ili ukipata deals ni simple kufanya reference kupitia Kazi zako mwenyewe Click to expand... Mara nyingi hizi site zinafaaa uwe na PC kuliko simu kukamilsha tasks
Star onair said: mkuu Karibu Sana kwenye kitengo hiki "Content creator" jaribu kujiunga na freelancing site then ujitangaze kule utapata tu wadau wanaohitaji. Pia Tengeneza hata page yakwako mwenyewe na uwe unapost ili ukipata deals ni simple kufanya reference kupitia Kazi zako mwenyewe Click to expand... Mara nyingi hizi site zinafaaa uwe na PC kuliko simu kukamilsha tasks
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,765 Reaction score 4,879 Jul 26, 2021 #4 Uzi muhimu sana huu
Star onair Senior Member Joined May 31, 2020 Posts 144 Reaction score 145 Jul 26, 2021 #5 Quavohucho said: Mara nyingi hizi site zinafaaa uwe na PC kuliko simu kukamilsha tasks Click to expand... Ni kwel Ila kama mtuanabidii yote yanawezekana.
Quavohucho said: Mara nyingi hizi site zinafaaa uwe na PC kuliko simu kukamilsha tasks Click to expand... Ni kwel Ila kama mtuanabidii yote yanawezekana.
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 4,409 Reaction score 9,258 Jan 17, 2022 #6 mxhongo uo hapo ADCASH KAMPUNI BORA ZAIDI YA MATANGAZO KWA BLOGGER WADOGO Safariafricablog-ADCASH KAMPUNI BORA ZAIDI YA MATANGAZO KWA BLOGGER WADOGO www.safariafricablog.com
mxhongo uo hapo ADCASH KAMPUNI BORA ZAIDI YA MATANGAZO KWA BLOGGER WADOGO Safariafricablog-ADCASH KAMPUNI BORA ZAIDI YA MATANGAZO KWA BLOGGER WADOGO www.safariafricablog.com